Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS DK.MPANGO AFUNGUA DARAJA LA MAGARA

Written by mzalendoeditor

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akifungua Rasmi Daraja la Magara na Barabara Unganishi ya kilometa 5.2 iliopo Babati Vijijini mkoani Manyara.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akitembea katika  Daraja la Magara mara baada ya kulizindua pamoja na  Barabara Unganishi ya kilometa 5.2 iliopo Babati Vijijini mkoani Manyara.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na viongozi, pamoja na wananchi mbalimbali wa Magara iliopo Babati Vijijini mkoani Manyara mara baada ya kufungua Daraja la Magara na Barabara Unganishi ya kilometa 5.2 iliopo Babati Vijijini mkoani Manyara

About the author

mzalendoeditor