Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

betsat

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

SHIRIKA LA POSTA, KAMPUNI YA NDEGE ZA TANZANIA ZASAINI MKATABA WA KIBIASHARA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye akikata tiketi ya ndege kama ishara ya kuzindua ukataji wa tiketi katika ofisi za Shirika la Posta Tanzania (TPC), mara baada ya utiaji saini wa mkataba wa kibiashara kati ya Shirika hilo na Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) katika ukumbi wa Makao Makuu ya Shirika hilo, jijini Dar es Salaam.

Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Macrice Mbodo (kulia) pamoja na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) Mhandisi Ladislaus Matindi wakisaini hati ya makubaliano ya kibiashara baina ya mashirika hayo katika Makao Makuu ya Shirika hilo, jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye na (wa nne kushoto) na wa tatu kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara hiyo Mohammed Khamis.

Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Macrice Mbodo pamoja na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) Mhandisi Ladislaus Matindi wakibadilishana hati za makubaliano ya kibiashara kati ya ATCL na TPC nchini mara baada ya kusaini hati hizo katika Makao Makuu ya Shirika la Posta, jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini wa makubaliano ya kibiashara kati ya Shirika la Posta Tanzania na Kampuni ya Ndege nchini (ATCL) katika ukumbi wa Makao Makuu ya Shirika la Posta, jijini Dar es Salaam.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mohammed Khamis Abdulla akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini wa makubaliano ya kibiashara kati ya Shirika la Posta Tanzania na Kampuni ya ndege nchini (ATCL) katika ukumbi wa Makao Makuu ya Shirika la Posta, jijini Dar es Salaam.

Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) Mhandisi Ladislaus Matindi akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini wa hati ya makubaliano ya kibiashara kati ya Shirika la Posta Tanzania na Kampuni hiyo katika Makao Makuu ya Shirika la Posta, jijini Dar es Salaam.

Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Macrice Mbodo akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini wa hati ya makubaliano ya kibiashara kati ya Shirika hilo na Kampuni ya Ndege nchini (ATCL) katika ukumbi wamMakao Makuu ya Shirika la Posta, jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) mara baada ya hafla ya utiaji saini wa makubaliano ya kibiashara baina ya Shirika hilo na Kampuni ya ndege nchini katika ukumbi Makao Makuu ya Shirika la Posta, jijini Dar es Salaam.

**********************

Prisca Ulomi, WHMTH, DSM

Shirika la Posta Tanzania (TPC) na Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) zimesaini mkataba wa kibiashara leo wa kuziwezesha taasisi hizo za umma kusogeza huduma zake karibu kwa wananchi

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye ameshuhudia hafla hiyo ya utiaji saini mkataba baina ya taasisi hizo mbili ya TPC na ATCL na kuzindua rasmi ushirikiano huo wa kibiashara ambapo TPC kama wakala wa ATCL imemkatia tiketi ya ndege ya ATCL Waziri Nape papo hapo baada ya uzinduzi huo

“Niwapongeze kwa ubunifu mkubwa mliofanya, na hii imechagiza maono ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ya kufikisha huduma kwa wananchi na muwahamishe wananchi kutumia huduma hizo”, amesema Waziri Nape

Waziri Nape ameongeza kuwa, “ATCL mna mashirika ya ndege mnayofanya nayo kazi, na TPC nao wana mashirika yao huko duniani, hivyo ATCL na TPC wote mtanufaika ni vizuri mkashirikiana na sekta binafsi, acheni kujifungia, tokeni nje, mnachokipata mtagawana na kuongeza tija ya mashirika yenu “.

“ATCL na TPC mkawajibike ipasavyo ili huduma zote za mashirika haya ziwe nzuri zaidi na ubora wa huduma uzingatiwe, hivyo msifumbiane macho, mwambizane ukweli kwa kuwa unapomkamua mtu jipu atapiga kelele ila kesho atapona; ubora wa huduma zenu utavutia sana wateja,” amesisitiza Waziri Nape

Akizungumza wakati anamkaribisha Waziri Nape, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mohammed Khamis Abdulla amesema kuwa ajenda kuu ya Wizara hiyo ni kuipeleka Tanzania Kidijitali na mashirikiano baina ya TPC na ACTL ni moja ya njia ya kuifikisha nchi Kidijitali huku akiugusia mfumo wa anwani za makazi kama njia nyingine ya kuipeleka Tanzania Kidijitali

“TPC inategemea usafiri wa haraka, salama na unaoaminika na ATCL inahitaji kufikia wateja wake, hivyo ushirikiano huu ni muhimu,” amesema Abdulla

Naye Mwenyekiti wa Bodi ya TPC, Brigedia Mstaafu Yohana Mabongo amesema kuwa bodi itahakikisha ndoa baina ya ATCL na TPC inashamiri ili nchi yetu itoboe katika ya uchumi kwa kuhakikisha kuwa ushirikiano wa kibiashara uliosainiwa leo hii unaenda kuhudumia wananchi ipasavyo

Kaimu Posta Masta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Macrice Mbodo amesema kuwa TPC imeona fursa ya kutumia ATCL kuwa wakala na kufanya makubaliano ya kibiashara ikiwemo wakala wa kukata tiketi za ndege na usafirishaji wa vifurushi kwa kuwa TPC ina matawi zaidi ya 350 nchi nzima hivyo TPC itasogeza huduma kwa wananchi

Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Mhandisi Ladslaus Matindi amesema kuwa tukio hili ni kubwa kwa ATCL kwa kuwa wameangalia namna mpya ya kufanya biashara na TPC na kutumia fursa hii kwa kuwa TPC ni Shirika pekee lenye mtandao mpana mpaka vijijini ambao ni sawa na ilivyo vituo vya afya na shule zilivyo kila mahali na fursa hii itawanufaisha wote ATCL na TPC kwa kuwa kwa sasa dunia ni kama Kijiji.

About the author

Alex Sonna