Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

casinowon

Hacklink panel

holiganbet

jojobet ios

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

grandpashabet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

spinco

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

betasus

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet adres

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

jojobet

mercurecasino

ultrabet

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

paribahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

İmajbet

Featured Kitaifa

MKUTANO WA KIMATAIFA WA UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI WAANZA KUJIBU

Written by Alex Sonna

WAZIRI  wa Madini Dkt. Doto Biteko akizungumzia lengo la ziara ya Waziri wa Nishati na Madini wa  Burundi Mhe. Ibrahim Uwizeye alipotembelea mradi wa Tembo Nikeli wilayani Ngara mkoa wa Kagera.

Waziri wa Nishati na Madini wa  Burundi Mhe. Ibrahim Uwizeye akizungumza mara baada ya kuwasili mkoa wa Kagera kujifunza kujifunza zaidi kuhusu Sekta ya Madini hususan utekelezaji wa mradi mkubwa wa uchimbaji wa madini ya nikeli.

Waziri wa Nishati na Madini wa Burundi Mhe. Ibrahim Uwizeye akiangalia Madini ya nikeli alipotembelea mgodi huo Machi 14, 2022 wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera.

……………………………………………………

Ikiwa umepita mwezi mmoja tu tangu kufanyika kwa Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini wa mwaka 2022, tayari Waziri wa Nishati na Madini wa Burundi Mhe. Ibrahim Uwizeye amefika nchini kwa lengo la kujifunza zaidi kuhusu Sekta ya Madini hususan utekelezaji wa mradi mkubwa wa uchimbaji wa madini ya nikeli.

Ziara ya Waziri wa Nishati na Madini wa Burundi nchini inakuja baada ya kuhudhuria  mkutano wa madini ambao ulikuwa wa manufaa kwa nchi hiyo.  Hivyo, alimuomba Waziri wa Madini kuja kujifunza zaidi kutoka kwa Tanzania kutokana na namna ilivyofanikiwa katika usimamizi wa  Sekta ya Madini ikiwemo utekelezaji wa miradi mikubwa ya madini  ili hatimaye rasilimali madini zinazopatikana nchini Burundi zilinufaishe taifa hilo.

Akizungumzia lengo la ziara hiyo, Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amesema imelenga kujifunza kupitia mradi huo ili kuona namna ambavyo nchi hiyo inaweza kujifunza kutoka Tanzania na namna ambavyo nchi hizo zinavyoweza kushirikiana katika utekelezaji wa miradi ya namna hiyo na kuongeza kuwa, ni mapema sana kusema kitakachofuata baada ya ziara hiyo.

 “Mradi wa Kabanga Nikeli na Msongati nchini Burundi ni mmoja, jiolojia ya Kabanga na Msongati ni moja na kama mnavyojua jiolojia haina mipaka isipokuwa mipaka ya kiutawala. Pia, wamefika kuona namna nchi hizi zinavyoweza kufanya ili hatimaye ziweze kuwa mfano bora wa ushirikiano kwa mataifa mengine Afrika,” amesema.

Aidha, Waziri Biteko amemuelezea waziri huyo kuwa ni mtu mwenye kiu na wivu wa maendeleo  ya kuona rasilimali madini inalinufaisha taifa hilo kwa kuwa amekuwa akifuatilia Sekta ya Madini nchini kwa kipindi kirefu  na kuongeza, “nimpongeze sana waziri wa Burundi kwa kuwa na wivu wa rasilimali madini kwani tusipokuwa na wivu wa rasilimali zetu baadaye tutachekwa.’’

Aidha, Waziri Biteko ameonya kuhusu wale wote wanaotegesha kwa lengo la kunufaika na malipo ya fidia na kueleza kuwa hawatalipwa chochote isipokuwa tu kwa wananchi wenye uhalali wa kulipwa. Pia, ameongeza kuwa, Serikali haitawavumilia wale wote wanaofanya vitendo vya tegesha.

Kwa upande wake, Waziri Uwizeye amesema ujumbe wake umefika nchini kujifunza ili mradi huo uweze kuzinufaisha nchi zote ikiwemo kuhakikisha nchi hiyo pia inachimba madini hayo na hivyo kuiomba Tanzania kuipa nafasi ya kujifunza kuhusu utekelezaji wa mradi huo kwa kuwa jiolojia ya madini hayo pia inapatikana nchini humo.

Naye, Mkuu wa Wilaya ya Ngara, Kanali Mathias Kahabi amemhakikishia Waziri Biteko kuwa, Wilaya hiyo haitokuwa kikwazo cha utekelezaji wa mradi wa uchimbaji wa nikeli. Ametumia fursa hiyo kuelezea masuala muhimu matatu ambayo tayari yamefanywa na wilaya hiyo, ikiwemo kufanya zoezi la kutambua maeneo ya kupisha mradi; mazungumzo ya awali kati ya wawekezaji na wananchi katika ngazi zote; na mapitio ya  makubaliano ya kuhamisha wananchi.

Aidha, Mkuu huyo wa Wilaya ametumia fursa hiyo pia kumuomba Waziri Biteko kuweka msukumo ili kuwezesha mradi huo kuanza kwa wakati uliopangwa.

Akizungumza katika ziara hiyo, Balozi wa Tanzania nchini Burundi, Dkt. Gilly Maleko amesema baada ya kuwepo mahusiano mazuri ya kidiplomasia kwa nchi hizo ambazo zimekuwa marafiki kwa miongo mingi, ilionekana kuwa ipo haja ya kukuza mahusiano ya kiuchumi.

Naye, Balozi wa Jamhuri ya Burundi nchini Tanzania, Gervouis Abayeho, amesema baada ya kufahamu kuwa Tanzania ina uzoefu wa muda mrefu katika Sekta ya Madini, nchi hiyo imeona ipo haja ya kujifunza kutoka Tanzania ili kupata uzoefu utakaoiwezesha nchi hiyo kusimamia Sekta ya Madini kwa manufaa ya nchi hiyo ikiwemo kuzisaidia nchi hizo kugeuza sura za kiuchumi kwa mataifa hayo.

Kadhalika, Mbunge wa Jimbo la Ngara  Mheshimiwa Ndaisaba Ruhoro, ameihakikishia nchi hiyo  kuwa kama mbunge wa eneo hilo atahakikisha anapambania ujenzi wa miundombinu muhimu ikiwemo barabara na umeme ili utekelezaji wa mradi huo ufanyike kikamilifu.  Ameitaka nchi hiyo kuendelea na mipango ya kuchimba madini hayo kwa kuwa miundombinu itaboreshwa.

 “Burundi haipo karibu na bandari, ikichimba nikeli itapitisha kwetu tutapata fedha lakinipia kama nchi, tutanufaika na madini kutoka nchi jirani,’’ amesema Ruhoro.

Kwa upande wake, Meneja Mkazi wa Kampuni ya Tembo Nikeli Benedict Busunzu akiwasilisha taarifa kuhusu mradi huo amesema uhai wa mgodi unatarajiwa kuwa zaidi ya miaka 30 na kuongeza kuwa, tayari Kampuni hiyo imepata mbia mwenza Kampuni ya BHP ambayo ni kampuni kubwa ya madini duniani inayotarajiwa kuleta mapinduzi makubwa ya kiteknolojia katika utekelezaji wa mradi huo. Ameitaja  teknolojia hiyo kuwa ni ya Hydrometallurgy kuwa ni ya kwanza kutekelezwa duniani ambayo pia, itakuwa rafiki mkubwa wa mazingira.

Busunzu ameitaja nikeli ya Kabanga kuwa ni ya daraja la juu duniani na kuutaja mradi huo kuwa na manufaa makubwa ya kiuchumi kwa Tanzania.

Akizungumzia soko la madini hayo duniani, amesema ni yanahitajika sana  kutokana na kuhama kwa matumizi ya teknolojia na kueleza kuwa, kabla ya kuzuka kwa vita ya Urusi na Ukraine bei ya madini hayo kwa tani ilikuwa ni Dola za Marekani 21,000  na kupanda hadi Dola za Marekani 51,000 na ndani ya muda mfupi  kufikia Dola za Marekani 100,000 kwa tani moja ya nikeli.  Ameongeza kuwa,  hivi sasa bei yake imeshushwa hadi kufikia Dola za Marekani 48,000 kwa tani ili kulinda mwenendo wa soko lake.

About the author

Alex Sonna