Featured Kitaifa

KAMATI YA PAC YAKAGUA MRADI WA MAJI BABATI

Written by mzalendoeditor

.Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Babati (BAWASA), Mhandisi Rashid Cherehani akitoa maelezo ya mradi wa maji wa Dareda-Singu, Sigino na Bagara unaotekelezwa katika Wilaya ya Babati Mjini kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua mradi huo.

Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Babati (BAWASA), Mhandisi Rashid Cherehani akitoa maelezo ya mradi wa maji wa Dareda-Singu, Sigino na Bagara unaotekelezwa katika Wilaya ya Babati Mjini kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua mradi huo.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mheshimiwa Naghenjwa Kaboyoka akizungumza wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua mradi wa maji wa Dareda-Singu, Sigino na Bagara unaotekelezwa katika Wilaya ya Babati Mjini

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo kabla Kamati haijatembelea na kukagua mradi wa maji wa Dareda-Singu, Sigino na Bagara unaotekelezwa katika Wilaya ya Babati Mjini.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mheshimiwa Naghenjwa Kaboyoka akizungumza katika kikao cha Kamati hiyo kabla Kamati haijatembelea na kukagua mradi wa maji wa Dareda-Singu, Sigino na Bagara unaotekelezwa katika Wilaya ya Babati Mjini, kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati Mheshimiwa Japhet Hasunga.

About the author

mzalendoeditor