Featured Kitaifa

KAMATI YA PAC YAKAGUA MRADI WA JENGO LA RPC SINGIDA

Written by mzalendoeditor

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Mheshimiwa Naghenjwa Kaboyoka akizungumza katika kikao cha Kamati na watendaji wa Jeshi la Polisi wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida, kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati Mheshimiwa Japhet Hasunga

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida ACP Stella Mutabihirwa akiwaonyesha wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Jengo la Makao Makuu ya Jeshi la Polisi mkoa wa Singida Polisi wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua ujenzi wa Jengo

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida ACP Stella Mutabihirwa akiwaonyesha wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Jengo la Makao Makuu ya Jeshi la Polisi mkoa wa Singida Polisi wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua ujenzi wa Jengo, mwenye kofia ni Mwenyekiti wa Kamati wa Kamati, Mheshimiwa Naghenjwa Kaboyoka

Msimanmizi wa mradi wa Jengo la Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Singida,ACP Constatine Kiwone akitoa maelezo ya mradi kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), wakatti Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua ujenzi wa mradi huo ambao umeshakamilika kwa asilimia mia moja.

Kaimu Mkuu wa Jeshi la Polisi, DCP Lucas Mkondya akizungumza mbele ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua wa mradi wa Jengo la Makao Makuu ya Jeshi la Polisi mkoa wa Singida

PICHA NA OFISI YA BUNGE

About the author

mzalendoeditor