Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan amepiga simu na kuipongeza Young Africans SC pamoja na kuahidi kuchangia shilingi Milioni 15 kwenye Taasisi ya Ali Kimara Rare Diases Foundation.’
‘Nawapongeza Yanga kwa kitu kizuri ni jambo zuri mmefanya kuandaa mechi ya hisani kwa ajili ya mtoto ni ugonjwa mbaya sana,namimi naungana nanyi kuchangia milioni 15 mcheze vizuri ni mchezo wa kirafiki namimi natizama’Rais Samia