Featured Michezo

MWIGULU,GEKUL NA DKT.ABBASI WASHIRIKI KUCHEZA NA WASANII KATIKA HARAMBEE YA TWIGA STARS

Written by mzalendoeditor

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt.Mwigulu Nchemba akiongoza Harambee ya kuchangia timu ya Taifa ya Wanawake ( TWIGA STARS ). Hafla hiyo imefanyika leo tarehe 08/03/2022 katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Paulina Gekul,akizungumza wakati wa Harambee ya kuchangia timu ya Taifa ya Wanawake ( TWIGA STARS ). Hafla hiyo imefanyika leo tarehe 08/03/2022 katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Kayumba akitumbuiza katika hafla ya Uzinduzi wa albam na harambee ya kuchangia timu ya Taifa ya Wanawake (TWIGA STARS) iliyofanyika leo tarehe 08/03/2022 katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.

 

Baadhi ya wasanii wa bongo Flava wakifuatilia hafla ya Uzinduzi wa albam na harambee ya kuchangia timu ya Taifa ya Wanawake (TWIGA STARS) iliyofanyika leo tarehe 08/03/2022 katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt.Mwigulu Nchemba,Naibu Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Paulina Gekul pamoja na Katibu Mkuu wa Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi,wakishiriki kucheza na wasanii katika Harambee ya kuchangia timu ya Taifa ya Wanawake ( TWIGA STARS ). Hafla hiyo imefanyika leo tarehe 08/03/2022 katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.

……………………………………………………

Wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya wamepamba harambee ya kuchangia timu ya wanawake ya Twiga Stars na kuwafanya viongozi na mgeni rasmi kwenye sherehe hiyo, Waziri wa Fedha na Mipango. Mhe, Mwigulu Nchemba kushiriki kucheza pamoja na wasanii.

Viongozi wengine waliojumuika kucheza na wasanii hao ni Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Pauline Gekul na Katibu Mkuu wake. Dkt. Hassan Abbasi.

Wadau mbalimbali wameshiriki kuchangia harambee hiyo.

About the author

mzalendoeditor