marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet giriş

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

sapanca escort

sapanca escort

vdcasino

vdcasino

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

bets10

milanobet

holiganbet

casibom

dizipal

1xbet giriş

1xbet

tambet

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

perabet giriş

imajbet

grandbahis giriş

imajbet

grandbahis

imajbet giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

ultrabet, ultrabet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

superbetin

trimology review

celtabet

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

aaa

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

taksimbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

bets10

Milanobet

jojobet

cratosroyalbet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

betsat

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

padişahbet

holiganbet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

cratosroyalbet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

jojobet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

esbet

vdcasino

bets10 giriş

perabet

efesbet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

perabet

สล็อตเว็บตรง

zirvebet

superbetin

jojobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

imajbet

imajbet giriş

jojobet

casibom

casibom

jojobet güncel giriş

casibom

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

celtabet

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

sorgu paneli

galabet, galabet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

roketbet, roketbet giriş

casibom

holiganbet

betsat

betsat giriş

deneme bonusu veren siteler

hitbet

tipobet giriş

betist

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AITAKA BENKI YA KILIMO ITEKELEZE AGIZO LA RAIS SAMIA

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza  wakati wa uzinduzi wa mradi wa ushirikiano wa wasindikaji na wazalishaji katika tasnia ya maziwa Tanzania (Tanzania Inclusive Processor- Producer Partnership in Dairy-TI3P),inayoratibiwa kwa ushirkiano kati ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo na Taasisi ya Bill and Melinda Gates, katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania Jijini Dar es salaam 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Meneja Mauzo wa Kiwanda cha Kuzalisha Maziwa cha Kilimanjaro Fresh Eulalia Marandu (katikati) wakati wa halfa ya uzinduzi wa mradi wa ushirikiano wa wasindikaji na wazalishaji katika tasnia ya maziwa Tanzania (Tanzania Inclusive Processor- Producer Partnership in Dairy-TI3P), wa kwanza kushoto ni Mtumishi wa Kiwanda cha Kilimanjaro Fresh Hilda Halisi. Mradi huo unaratibiwa  kwa ushirikiano kati ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo na Taasisi ya Bill and Melinda Gates, katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania  Jijini Dar es salaam

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akioneshwa mikataba iliyosainiwa ya mradi wa ushirikiano wa wasindikaji na wazalishaji katika tasnia ya maziwa Tanzania (Tanzania Inclusive Processor- Producer Partnership in Dairy-TI3P),inayoratibiwa kwa ushirikiano kati ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo na Taasisi ya Bill and Melinda Gates, Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa TADB Frank Nyabundege na kushoto ni Muwakilishi wa Taasisi ya Bill and Melinda Gates Marcella McClatchey, katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania  Jijini Dar es salaam

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki (katikati) na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima (Kushoto) wakati wa uzinduzi wa mradi wa ushirikiano wa wasindikaji na wazalishaji katika tasnia ya maziwa Tanzania (Tanzania Inclusive Processor- Producer Partnership in Dairy-TI3P),inayoratibiwa kwa ushirikiano kati ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo na Taasisi ya Bill and Melinda Gates, katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania Jijini Dar es salaam  Machi 7, 2022 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

……………………………………………………….

*Ataka Wizara ya Mifugo iendeleze kampeni ya unywaji wa maziwa  
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa Benki ya Kilimo Tanzania (TADB) uhakikishe fedha ya mikopo kwa wakulima wadogo zinatumika ipasavyo na kwa kuzingatia maelekezo ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan.
“Benki ya Maendeleo ya Kilimo izingatie agizo la Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan la kuhakikisha kwamba fedha kwa ajili ya mikopo zinatumika ipasavyo, zinawafikia wakulima wengi zaidi wakiwemo wakulima wadogo na kuongeza ufanisi katika utendaji kazi,” amesema.
Waziri Mkuu ametoa wito huo leo (Jumatatu, Machi 7, 2022) wakati akizungumza na viongozi na wadau mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa mradi wa ushirikiano wa wasindikaji na wazalishaji katika tasnia ya maziwa (Tanzania Inclusive Processor-Producer Partnerships in Dairy – TI3P) kwenye ukumbi wa Kilimanjaro, Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam.
Mradi huo unalenga kuleta mabadiliko chanya katika sekta ya maziwa kupitia uhamasishaji wa uwekezaji kutoka sekta ya umma na sekta binafsi kwa kusudi la kuongeza tija katika uzalishaji wa maziwa, kuongeza ukusanyaji wa maziwa katika mfumo ulio rasmi, kukuza uwezo wa viwanda katika uchakataji wa maziwa, na kupanua wigo wa soko la bidhaa za maziwa.
Aidha Waziri Mkuu ameitaka Benki hiyo ihakikishe kuwa inaweka kipaumbele katika kuwafikia wakulima wadogo, wenye biashara ndogo na za kati zinazojihushisha na kilimo, ufugaji na uvuvi yakiwemo makundi maalum ya wanawake na vijana ili kuchagiza ukuaji wa mnyororo mzima wa thamani katika kilimo, kukuza ajira na kipato cha Mtanzania wa kawaida.
“TADB wekeni utaratibu wa kuwa riba na masharti nafuu kwa Watanzania ili wengi waweze kunufaika na kutoa kipaumbele kupitia mikopo ya muda mfupi, wa kati na muda mrefu,” amesisitiza.
Wakati huohuo, Waziri Mkuu ameiagiza Wizara ya Mifugo na Uvuvi iimarishe eneo la utafiti hasa kwenye vyuo vya utafiti kwa kufanya tafiti ambazo zitatoa suluhisho kwa changamoto katika sekta ya mifugo ili kuongeza ubora na wingi maziwa.
“Wizara iimarishe na kuboresha koosafu za ng’ombe ili kupata ng’ombe bora wa maziwa kwa njia ya uhamilishaji kwa kutumia chupa (Artificial Insermination) na uzalishaji kwa njia ya kiiini tete (embryo transfer).”
Ameitaka wizara hiyo endelee kuhamasisha unywaji wa maziwa maofisini na kushirikiana na TAMISEMI kuendeleza Mpango wa Unywaji wa Maziwa Shuleni. “Tuanzishe kampeni maalum za unywaji maziwa na hili zoezi liwe endelevu,” amesisitiza.
Pia amewataka Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya kwa kushirikiana na Maafisa Mifugo katika kila wilaya waanzishe vituo vya kukusanyia maziwa ili kuimarisha soko la maziwa na kutaka wananchi waelekezwe masoko yalipo.
Waziri Mkuu alishuhudia uwekaji saini wa makubaliano yakayowezesha ufanikishaji wa mradi huo baina ya Benki ya Kilimo (TADB) na taasisi ya Bill & Melinda Gates wenye thamani ya dola za Marekani milioni saba.
Mapema, akielezea mradi huo, Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Frank Nyabundege alisema mradi huo wa miaka mitatu unalenga kuwafikia wafugaji 100,000 na viwanda kati ya 9 hadi 12 ambavyo vitasaidiwa kuandaa mikakati thabiti ya kibiashara na masoko ikiwa ni pamoja na kuimarisha miundombinu ya usambazaji wa maziwa na uhamasishaji wa unywaji wa maziwa ikiwepo programu za unywaji maziwa mashuleni.
“Ukiondoa dola za Marekani milioni saba za Bill and Melinda Gates Foundation, napenda kuishukuru Serikali kwa kutukubalia ombi letu la kufanikisha kiasi cha dola za Marekani milioni 40 kwa ajili ya kuongeza nguvu ya uwekezaji katika mradi huu, ili kuweza kuleta matokeo makubwa zaidi.”
Alisema tangu Februari 2018 hadi sasa, TADB imefanikiwa kuwekeza kiasi cha sh. bilioni 16.4 kwenye sekta hiyo na kwamba imeweza kukopesha moja kwa moja sh. bilioni 15.6 kwa wafugaji na viwanda vya maziwa.
 “Kati ya sh. bilioni 15.6, tumekopesha shilingi bilioni 14 kwa viwanda sita vya uchakataji na uzalishaji maziwa, shilingi milioni 547 kwa vyama vya ushirika (AMCOS) sita na  shilingi milioni 776 kwa wanufaika wengine kama makampuni na biashara ndogo za kati (SMEs) zinazojishughulisha na ufugaji, usindikaji na uzalishaji wa maziwa,” na kuitaja mikoa iliyonufaika kuwa ni Arusha, Dar es Salaam, Iringa, Mara, Njombe, Tanga na Shinyanga.
Naye mwakilishi wa Bill and Melinda Gates Foundation (BMGF), Bi. Marcela McClatchey alisema taasisi hiyo imetoa dola za marekani milioni saba ili kuendeleza sekta ya wazalishaji na wasindikaji wa maziwa.
“Tumelenga kuwawezesha Watanzania ambao ni wakulima na wenye makampuni kukua na kufanikiwa katika sekta ya uzalishaji na usindikaji wa maziwa.”
Akizungumza kwa niaba ya wanufaika wa mradi huo, Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Bw. Adam Malima alisema ana imani mradi huo wa TI3P utawasaidia wafugaji wa mikoa mbalimbali nchini kufuga kisasa na kuzalisha maziwa kwa wingi zaidi. “Kwa upande wetu tunajipanga kutoka kwenye ufugaji wa makundi makubwa ya ng’ombe na kuwa nao wachache ambao watafugwa kibiashara.”

About the author

Alex Sonna