Featured Michezo

MAYELE AZIDI KUTETEMA ,YANGA YAICHAPA GEITA GOLD FC CCM KIRUMBA

Written by mzalendoeditor

Timu ya Yanga imeendelea kuutafuta ubingwa wa 28 wa Ligi Kuu bara baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji Geita Gold FC  mchezo wa NBC uliopigwa uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Shujaa wa mchezo huo ni Fiston Mayele dakika ya kwanza aliwanyanyua mashabiki waliofurika katika uwanja huo baada ya kufunga bao safi.

Kwa ushindi huo Yanga wamefikisha Pointi 45 kileleni mwa Msimamo wa Ligi hiyo.

About the author

mzalendoeditor