Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AWASILI JIJINI DODOMA KUTOKA NCHINI KENYA

Written by mzalendoeditor

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akiagana na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta uliopo Nairobi nchini Kenyawakati akiondoka kurejea nchini Tanzania. Machi 5,2022

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango leo tarehe 5 Machi 2022 akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Dodoma katika uwanja wa ndege wa Dodoma wakati akirejea nchini kutokea Nairobi nchini Kenya ambapo alishiriki Mkutano Maalum wa Baraza la Kimataifa la Mazingira ulioenda sambamba na maadhimisho ya miaka 50 ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mazingira (UNEP).

About the author

mzalendoeditor