Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj  Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akiitikia dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar kabi (katikati) katika makaburi ya wanazuoni mbali mbali waliozikwa katika Msikiti wa Ijumaa Malindi Jijini Zanzibar leo alipozuru makaburi hayo kabla ya kujumuika na Waislamu katika Sala ya Ijumaa (kulia) Sheikh Salum Hemed .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj  Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipozungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu   mara baada ya Sala ya  Ijumaa  katika Msikiti wa Ijumaa Malindi Jijini Zanzibar leo .[Picha na Ikulu

Previous articleTRA TANGA WAIKABIDHI WILAYA YA BUHIGWE PIKIPIKI MBILI KWA AJILI YA KUWASAIDIA KUTEKELEZA MAJUKUMU YA KITAIFA
Next articleWANAFUNZI 6 MBARONI KWA KUCHOMA PIKIPIKI YA MWALIMU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here