Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet, aresbet giriş

betcio, betcio giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

tipobet

jojobet

ilbet

ilbet giriş

pulibet

cratosroyalbet

tarafbet

kavbet

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat giriş

betebet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

Ankara escort

casibom

güvenilir bahis siteleri

film izle

vdcasino giriş

betasus

marsbahis, marsbahis giriş

Google

bahiscasino

ultrabet

betasus

casibom

Greece Fentanyl Buy

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

casibom giriş

jojobet giriş

sweet bonanza giriş

sweet bonanza

deneme bonusu

sekabet

1win

holiganbet

pusulabet

marsbahis

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

limanbet

marsbahis

betnano

parmabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

aresbet giriş

aresbet

mislibet

marsbahis

marsbahis

mavibet

meritking

marsbahis giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

marsbahis güncel giriş

limanbet

bahiscasino giriş

royalbet

mislibet

aresbet

royalbet

parmabet

holiganbet

Hacklink panel

betpas

jojobet

Google

jojobet

holiganbet

bahiscasino giriş

mislibet giriş

royalbet giriş

royalbet giriş

marsbahis giriş

perabet

betpark

parmabet

primebahis

tümbet

tümbet giriş

otobet

otobet giriş

sahabet

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

timebet

casibom giriş

meritbet

casibom

uyuşturucu satın al

matbet

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pokerklas, pokerklas giriş

meritbet

jojobet

perabet giriş

perabet

betnano giriş

betpark giriş

gobahis giriş

betnano

betnano giriş

bahiscasino

gobahis

limanbet giriş

betnano giriş

parmabet giriş

betnano

betkolik giriş

perabet giriş

gobahis giriş

royalbet giriş

aresbet giriş

vaycasino giriş

betkolik

bahiscasino

gobahis giriş

bahiscasino giriş

bahiscasino

aresbet giriş

marsbahis giriş

parmabet giriş

betpark

perabet giriş

mislibet giriş

perabet

limanbet giriş

limanbet giriş

grandbetting

parmabet

matbet, matbet giriş

betcio, betcio giriş

deneme bonusu

kavbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

ikimisli

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

betgit

turkey dental implants

mavibet

mavibet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

süratbet

jojobet giriş

betvoy

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

aresbet

mislibet giriş

gobahis

limanbet

mislibet

mavibet

mavibet giriş

mavibet

aresbet giriş

kavbet

kavbet giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli giriş

ultrabet

ultrabet giriş

mavibet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Jojobet

Jojobet

Featured Kitaifa

RADI YAUWA WATU WATANO WA FAMILIA MOJA KATAVI

Written by Alex Sonna
Watu watano kutoka familia moja wakazi wa Kitongoji cha Magulio Kijiji na Kata ya Kamsisi Tarafa ya Inyonga Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi wamefariki Dunia baada ya kupigwa na radi iliyoambatana na mvua kubwa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi ACP Ali Makame Hamad amesema tukio hilo limetokea Machi 2,2022 majira ya saa 4 usiku ambapo familia hiyo wote walikuwa wamelala katika chumba kimoja.
“Watu hao watano wote wa familia moja ambao majina yao ni Masalu Sengule (32), Muri Shija (25), Nkiya Masalu (7), Vumi Masalu (5), Mariam Masalu mwenye umri wa miezi mitano wote wakazi wa Kijiji cha Kamsisi”,alisema ACP Hamad.
Katika tukio lingine linalofanana na hilo watu wawili waliofahamika kwa majina ya Faines Mihani (37) na Elizabeth Nyandwi (13) ambaye ni mwanafunzi wa Darasa la Sita Shule ya Msingi Mlibanzi walifariki Dunia papo hapo baada ya kupigwa na radi wakiwa shambani wanalima.
Tukio hilo limetokea mnamo Februali 28,2022 majira ya saa 9 jioni katika Kijiji Cha Mlibanzi,Kata ya Ipwaga Tarafa ya Kabungu Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi.
mzalendo.co.tz  imepata andiko hili mtandaoni kuhusu Radi
UTATA KUHUSU RADI MIONGONI MWA JAMII YETU NA MADHARA YAKE
Wengi wenu mtakubaliana na mimi kwamba maana halisi ya radi imekuwa ikipotoshwa sana katika jamii zetu hapa nchini. Nakumbuka nikiwa mtoto niliambiwa radi ni mnyama aina ya kondoo, wengine waliambiwa radi ni mnyama asiyefahamika mwenye miguu sita. Mke wangu anasema aliambiwa radi ni matokeao ya mgongano wa mapipa yaliyo angani. Na kila mtu angeweza kutoa maana tofauti tofauti juu ufahamu alionao kuhusu radi.
Kwa kifupi sana, katika umeme tunasema radi ni matokeo ya mgongano wa mawingu yenye chaji tofauti za umeme yaani hasi na chanya. Wengi tunajua kwamba sehemu ya juu ya wingu huwa na chaji chanya na sehemu yake ya chini ni hasi. 
Kumbuka ardhi ina chaji chanya. Mgongano huu wa mawingu hutokea baada ya mawingu kupoteza hali yake ya utulivu kutokana na kuongezeka kwa joto la tabaka la chini kabisa la mawingu na unyevunyevu mwingi kutoka ardhini.
 Au mara chache hutokana na ongezeko la hali ya baridi katika tabaka la juu kabisa la mawingu. Ndio maana mara nyingi radi hutokea wakati wa mchana na mara chache sana wakati wa usiku. Na kwa sababu lazima kuwepo na unyevunyevu radi mara zote hutokea wakati mvua ikinyesha. Isipokuwa kwa wenzetu wa Sumbawanga ambao inasemekana radi hutokea pia wakati wa mchana kweupe, jua kali na hakuna mvua(ninatania lakini).
Chaji hizi tofauti ni lazima ziwe kubwa kwa maana ya kiasi ili kuweza kupenya katika hewa kati yao na kuzalisha umeme. Hii ni kwa sababu hewa ina ukinzani mkubwa sana kwa umeme. Ikumbukwe kwamba mgongano mmoja tu kati ya mawingu unaweza kuzalisha umeme mwingi wa hadi milioni 100V. Huu ni umeme mkubwa sana ukizingatia kwamba kwa matumizi ya nyumbani tunahitaji kiasi cha 220/230V. Mgongano huu huzalisha joto na mwanga mkali sana. Bahati nzuri ni kwamba huisha na kufifia mapema sana.
Kwa hiyo RADI ni UMEME. Ni umeme mkubwa unaoambatana na mwanga mkali na sauti kubwa sana. Kwa sababu ni umeme mkubwa, mara zote husababisha madhara makubwa sana kwa binadamu na mazingira yake. Madhara kwa binadamu ni pamoja na kifo au majeraha na hasara inayotokana na uharibifu wa mali. Lakini radi huharibu miundombinu ya umeme, mimea na nyumba pia. Kwa kiasi kikubwa madhara ya umeme yanaweza kuepukika kama kila mmoja ataelimishwa na kufuata taratibu za kujikinga na madhara yake.
 Kwa wenye majengo marefu wanahitaji kufunga kifaa kinachoitwa Lightening arrestor au thunderstorm arrestor. Katika majengo ya kawaida ni muhimu kuhakikisha Earthing System (Grounding) iko vizuri.
 Hakikisha wakati mvua inanyesha umevaa viatu au kandambili zenye soli pana kiasi cha kutosha. Ikiwezekana zima kabisa umeme unapoona dalili za radi, unaweza kuacha taa tu zinawaka ikiwa kutakuwa na giza wakati huo. Kamwe usisimame au kukaa katika maji au kusimama chini ya nguzo, mti mbichi au kitu chochote kinachokuzidi urefu na kina uwezo wa kupitisha umeme. Mara zote radi hutafuta njia fupi na rahisi ili kukamilisha muunganiko wake na ardhi.
Maeneo mengi ya vijijini watu wanapokutwa na mvua na hakuna sehemu ya kujikinga na mvua, hukimbilia chini ya miti. Ni hatari sana kufanya hivyo kwa sababu ikiwa mti uliosimama chini yake utakuwa ndio mrefu kuliko kitu kingine chochote kinachopitisha umeme mahali hapo, basi radi itakamilisha muunganiko wake na ardhi kupitia mti huo na hapo ndipo utakapokutana na balaa kubwa la kifo ama majeraha makubwa. Lakini pia kunapokuwa na dalili za radi jizuie kutembea kwa mwendo mrefu katika sehemu ya wazi sana ambayo wewe ndio utakuwa na kimo kirefu kuliko kitu kingine. Vinginevyo unaweza kuishia kuwa mkaa.

About the author

Alex Sonna