slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

holiganbet giriş

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

pusulabet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

galabet

betasus

sekabet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

marsbahis

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

perabet giriş

klasbahis

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betgar, betgar giriş

betgar, betgar giriş

matbet, matbet giriş

holiganbet

restbet

jojobet

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

jojobet

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet güncel giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

betpark giriş

betixir

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

mislibet giriş

artemisbet

kavbet

kavbet

artemisbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

deneme bonusu 888

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

imajbet

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet giriş

jojobet

bets10

bets10

trust score weak 3

jojobet giriş

bets10 giriş

slot siteleri

mislibet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

casibom

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

grandpashabet

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

casibom

bahiscasino, bahiscaasino giriş

marsbahis, marsbahis giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

royalbet

tarafbet

güvenilir slot siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

lunabet

galabet, galabet giriş

grandpashabet

lunabet

lunabet

casibom

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

meritking

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

holiganbet giriş

holiganbet

deneme bonusu

grandpashabet

jojobet

matbet

marsbahis

pusulabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

meritking

meritking giriş

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

Casibom

kingroyal

matbet

holiganbet

grandpashabet

holiganbet

jojobet

betpark

Featured Kitaifa

MAJALIWA AZINDUA MIPANGO YA KUENDELEZA SEKTA YA KILIMO YA WILAYA

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Jijini Dodoma kuzindua Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Plan – DADP),uliofanyika leo March 2,2022 jijini Dodoma.

Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati akizindua Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Plan – DADP) hafla iliyofanyika leo March 2,2022 ijini Dodoma.

WAZIRI  wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa,akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Plan – DADP) hafla iliyofanyika leo March 2,2022 ijini Dodoma.

Makamu wa Rais wa Shirikisho  la Mageuzi ya Kijani Afrika (AGRA) Apollos Nwafor,akielezea malengo na Mkakati wa Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Plan – DADP) hafla iliyofanyika leo March 2,2022 ijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaudi Kigahe,akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Plan – DADP) hafla iliyofanyika leo March 2,2022 ijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Plan – DADP) uliozinduliwa leo March 2,2022 Jijini Dodoma

Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha vitabu vya  Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Plan – DADP) baada ya kuzindua  mipango hiyo hafla iliyofanyika leo March 2,2022  Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mpango kazi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa mara baada ya kuzindua Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Plan – DADP) uliozinduliwa leo March 2,2022 Jijini Dodoma

Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (hayupo pichani) wakati akizindua  Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Plan – DADP) hafla hiyo imefanyika leo March 2,2022 Jijini Dodoma,

Wakuu wa Mikoa  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (hayupo pichani) wakati akizindua  Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Plan – DADP) hafla hiyo imefanyika leo March 2,2022 Jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya  Rais (TAMISEMI), Innocent Bashungwa (kulia), Naibu Waziri wa kilimo, Anthony Mavunde (wa tatu kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka  (wa pili kulia) baada ya kuzindua Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Plan – DADP) uliofanyika leo March 2,2022  Jijini Dodoma.

Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzindua  Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Plan – DADP) hafla iliyofanyika leo March 2,2022 ijini Dodoma.

Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa Mikoa mara baada ya kuzindua  Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Plan – DADP) hafla iliyofanyika leo March 2,2022 ijini Dodoma.

 

………………………………………………………..

Na Hamida Ramadhani-DODOMA

WAZIRI Mkuu Kasimu Majaliwa amezindua mpango wa kuendeleza sekta ya kilimo,mifugo na uvuvi ya wilaya huku akiwataka viongozi wote katika nafasi zao kuhakikisha wanawajibika ili matokeo ya mpango huo yaweze kuonekana.

Ameyasema hayo leo March 2,2022  jijini Dodoma wakati wa uzinduzi huo wa mpango  wakuendeleza sekta ya kilimo huku akisema mpango huo utakuwa mwarobaini wa kutataua changamoto mbalimali zinazoikabili sekta ya kilimo na sekta zingine zilizomo katika mpango huo.

Amesema Tanzania inajumla ya hekta Milioni 44 lakini  zinazotumika ni hekta 23 sawa na asilimia 53 suala linalopelekea kilimo kusuasua.

 ‘’Ukweli usio pingika Tanzania imekuwa ikitegemea sekta ya kilimo katika kuwakomboa watu wake kiuchumi kwani sekta hiyo imeweza kuajili watanazia wengi amabapo asilimia 65 ya wananchi wamejikita katika kilimo huku na sailimia 100 ya chakula inatagemea sekta hiyo. ‘’ amesema Majaliwa  .

Amesema sekta ya kilimo ni muhimu sana kwa ustawi wa wananchi na ustawi wa uchumi wetu na taifa letu kwasababu asilimia kubwa ya awananchi wamejikita kwenye kilimo hakuna budi kuongeza chachu tuongeze kipato cha mtu mmoja mmoja.   

Hata hivyo amewata viongozi wote katika nafasi zao kuhakikisha wanawajibika ili matokeo ya mpango huo yanaonekana.

Kwa uapande wake waziri wa Nchi ofisi ya Rais Wawala Za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Innocent Bashungwa amesema kila mmoja amekuwa akihitaji mageuza katika sekta ya kilimo katika tafakuri hiyo zilijitokeza  changamoto  katika mpango  wamu wa kwanza wa kuendeleza sekta ya kilimo  na hivyo katika mpango huo wa pili wa kuendeleza sekta ya kilimo wanauwezo wa kuzitatua changamoto hizo licha ya kuwepo kwa mafanikio .

‘’Nikuhakikishile ofisi ya Rais Tamisemi  kwa maelekezo ya raisi samia wizara hizo nzinazozalisha katika kukuza uchumi wamejipanga wanashirikina mpango huo wa awamu ya pili wa kuendeleza sekta ya kilimo ili kuleta mafanikio kwa wananchi .

Amesema changamoto ya tabia nchi imekuwa changamoto  na Madadiliko hyo ya tabia nchi yamefanya kilimo kiwe na tija inayoshuka kwasabau yamabo ya ukame na changoto zingine .

 ‘’kwakushiria AGRA  na wizara ya kilimo, mifugo na uvuvi pamoja na maelekezo hivyo wamejipang kushiriana na AGRA katika kutatua chanagamoto ya kilimo katika  karine 21 na matatizo ya tabia nchi nahali inayopelekea tija kushuka na kuwewezesha maafisa ugani kuweza kuwahudumia wananchi wetu, ‘’amesema bashugwa

Naye Makamu wa Rais wa Taasisi ya Kuendeleza Kilimo Afrika (AGRA), Apollos Nwafor amesema kuwa  taasisi yao itaendelea kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kuleta mapinduzi ya sekta ya kilimo ili kuhakikisha Tanzania inazalisha zaidi na kuweza kulisha Bara la Afrika.

Makamu huyo wa Rais wa AGRA ametumia fursa hiyo kuipongeza Serikali kwa jitihada mbalimbali inazozifanya katika kuboresha na kukuza sekta ya kilimo na kwamba ameahidi kuendelea kuwekeza nchini.

                       

About the author

Alex Sonna