Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI ATETA NA MABALOZI WA SOUD ARABIA,INDONESIA NA KENYA IKULU ZANZIBAR

Written by mzalendoeditor

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Balozi wa Ufalme wa Saudi Arabia nchini Tanzania Mhe.Abdulla Bin ALI Alsheryan  wakati alipofika Kujitambulisha leo, Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza  mgeni wake Balozi wa Ufalme wa Saudi Arabia nchini Tanzania Mhe.Abdulla Bin ALI Alsheryan  wakati wa mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Kenya  nchini Tanzania Mhe. Dan Kazungu   wakati alipofika leo Ikulu Jijini Zanzibar, Kumuaga Rais baada ya kumaliza muada wake wa kazi nchini  .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Kenya  nchini Tanzania Mhe. Dan Kazungu   wakati alipofika  leo Ikulu Jijini Zanzibar, Kumuaga Rais baada ya kumaliza muada wake wa kazi nchini  .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Kenya  nchini Tanzania Mhe. Dan Kazungu   wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kumuaga Rais baada ya mazungumzo yao.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza  mgeni wake Balozi wa INDONESIA  nchini Tanzania Mhe.Tri Yogo Jatmiko wakati wa mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza  mgeni wake Balozi wa Indonesia  nchini Tanzania Mhe.Tri Yogo Jatmiko wakati wa   alipofika Ikulu Jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi  mgeni wake Balozi wa INDONESIA  nchini Tanzania Mhe.Tri Yogo Jatmiko baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.

Picha na Ikulu

About the author

mzalendoeditor