marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

pusulabet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

pashagaming

şğp

grandpashabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

sonbahis

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

imajbet

klasbahis

savoybetting giriş

goldenbahis

savoybetting

klasbahis giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

matbet, matbet giriş

betcio, betcio giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

ligobet

Madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

casibom

marsbahis

jojobet giriş

jojobet

alobet

alobet giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

jojobet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

grandpashabet

vdcasino

bets10 giriş

imajbet giriş

milanobet

imajbet

perabet giriş

perabet

ngsbahis

kralbet giriş

milanobet giriş

สล็อตเว็บตรง

bets10

casibom giriş

jojobet

deneme bonusu

kingroyal

trust score weak 3

jojobet

slot siteler

casino siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betsat

betsat giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu veren siteler

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

marsbahis, marsbahis giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

superbetin

madridbet

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

romabet

piabellacasino

güvenli casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

Featured Kitaifa

VITAMBULISHO VYA WAJASIRIAMALI MILIONI 1.6 VIMETOLEWA NCHINI

Written by Alex Sonna

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula,akizungumza wakati akifungua  kikao na  viongozi wa  Shirikisho la Umoja wa Wamachinga nchini na viongozi wa Wamachinga  kutoka Mikoa 26 nchini kilichofanyika leo Februari 22,2022 jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum ,Amon Mpanju,akitoa salamu wakati wa kikao na  viongozi wa  Shirikisho la Umoja wa Wamachinga nchini na viongozi wa Wamachinga  kutoka Mikoa 26 nchini kilichofanyika leo Februari 22,2022 jijini Dodoma.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Onesmo Lyanga,akizungumza wakati wa kikao na  viongozi wa  Shirikisho la Umoja wa Wamachinga nchini na viongozi wa Wamachinga  kutoka Mikoa 26 nchini pamoja na Wizara  ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum kilichofanyika leo Februari 22,2022 jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Jamii kutoka Wizara ya ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum Patrick Golwike,akizungumza wakati wa kikao na  viongozi wa  Shirikisho la Umoja wa Wamachinga nchini na viongozi wa Wamachinga  kutoka Mikoa 26 nchini kilichofanyika leo Februari 22,2022 jijini Dodoma.

Washiriki wa kikao wakifatilia hotuba ya Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula (hayupo pichani) wakati wa kikao na  viongozi wa  Shirikisho la Umoja wa Wamachinga nchini na viongozi wa Wamachinga  kutoka Mikoa 26 nchini kilichofanyika leo Februari 22,2022 jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Machinga nchini Ernest Matondo,akitoa neno la shukrani kwa Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula (hayupo pichani) mara baada ya kufungua  kikao na  viongozi wa  Shirikisho la Umoja wa Wamachinga nchini na viongozi wa Wamachinga  kutoka Mikoa 26 nchini kilichofanyika leo Februari 22,2022 jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua kikao na  viongozi wa  Shirikisho la Umoja wa Wamachinga nchini na viongozi wa Wamachinga  kutoka Mikoa 26 nchini kilichofanyika leo Februari 22,2022 jijini Dodoma.

………………………………………………………………

Na.Alex Sonna,DODOMA

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum,Dk.Zainabu Chaula amesema mpaka sasa vitambulisho vya wajasiriamali milioni  1.6 vimetolewa nchini  kati ya vitambulisho  milioni 3.7.

Pia amesema mikakati iliyopo kwa sasa ni jinsi ya kuwapatia vitambulisho vyao  wajasiriamali milioni  2.1 waliobaki.

Hayo ameyasema leo Februari 22,2022 Jijini Dodoma wakati akifungua  kikao na  viongozi wa  Shirikisho la Umoja wa Wamachinga nchini na viongozi wa Wamachinga  kutoka Mikoa 26 nchini,Dk.Chaula amesema kuwa Januari 25 mwaka huu Rais Samia Suluhu Hassan alikutana na viongozi wa  Wamachinga Mkoa wa Dar es salaam ambapo alipokea changamoto na mafanikio wanayokutana nayo.

Amesema kupitia kikao hicho Rais Samia  aliagiza kwamba wamachinga   ni kundi maalum na sasa liwe chini ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum.

Amesema  taarifa aliyonayo ni kuwa  mpaka sasa vimetolewa vitambulisho milioni  1.6 vya wajasiriamali  kati ya vitambulisho  milioni 3.7 huku  mikakati iliyopo kwa sasa ni jinsi ya kuwapatia vitambulisho vyao  wajasiriamali milioni  2.1 waliobaki.

“Lakini taarifa niliyonayo  tunawamachinga milioni  3.7 sasa tunataka hawa waliobaki  milioni 2.1 tunawapaje vitambulisho sasa ndio maana tunatembea na wenzetu wa TAMISEMI watuambie mchakato unaendaje.Kitambulisho ni jambo jema hata sisi ofisini tuna vitambulisho kwahiyo kitambulisho kinakutambua wewe ni nani na upo wapi lile tutaliboresha,”amesema.

Kuhusiana na kuwatambua wamachinga amesema : “Uzuri mifumo  ya Serikali ni endelevu kwahiyo  suala la kutambuliwa sio kwamba walikuwa hawatambuliwi,walitambuliwa na walipata usaidizi wote unaostahili isipokuwa kwa sababu imeanzishwa Wizara mpya yenye mambo mahsusi”

Amesema mgawanyo wa shilingi bilioni 5 zilizotolewa na Rais Samia suala hilo Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) linaendelea kulishughulikia

“Ule mgawanyo uliishatolewa kwa ajili ya kuonesha miundombinu na mchakato unaendelea nina imani tukimaliza haya tutajua tunatokaje Tamisemi wataendelea na uratibu,”amesema.

Kwa upande wake,Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo,Amon Mpanju amesema lengo la kikao hicho cha siku mbili  ni kulipokea hilo kundi kutoka Tamisemi walikokuwa wakiwahudumiwa mara baada ya Rais kuagiza liwe chini ya Wizara hiyo.

Amesema ndani ya siku mbili watapitishwa katika masuala ya uongozi,taratibu za kiuongozi na namna wanavyoweza kujiongoza kuanzia katika masoko mpaka Taifa,mifumo na mbinu mbalimbali za mawasiliano,pamoja na sheria,taratibu na kanuni za kuongoza umoja wao.

Naye,Mwenyekiti wa Jumuiya ya Machinga nchini Ernest Matondo, amesema kuwa  wanakabiliwa na changamoto ya miundombinu katika masoko kutokuwa rafiki ambapo ameomba fedha walizopewa zaidi ya shilingi bilioni 5 ziende kukarabati miundombinu hiyo ili waweze kufanya biashara katika mazingira mazuri.

“Nimpongeze Mheshimniwa Rais kwa kulitambua kundi hili maalum na kutupatia Wizara hili ni jambo la kumshukuru sana Mheshimiwa Rais,”amesema.

About the author

Alex Sonna