Featured Kitaifa

MAVUNDE ASHIRIKI IBADA TAKATIFU YA KUWEKA WAKFU VIFAA VYA MUZIKI JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

   

Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde leo ameshiriki katika ibada takatifu ya kuweka wakfu vifaa vya muziki alivyokabidhi katika kanisa la Mt.Yohana,Parishi ya Mnadani Jijini Dodoma,vifaa vyenye thamani ya sh 2.5m kwa ajili ya Kwaya ya Uinjilisti.

Mbunge Mavunde ambaye aliongozana pia na Diwani wa kata ya Miyuji Mh.Beatrice Ngerangera wamechangia tofali 1200 kwa ajili ya ujenzi wa kanisa jipya.

About the author

mzalendoeditor