marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

betbey

imajbet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

padişahbet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

romabet

marsbahis

royalbet

artemisbet

kavbet

parmabet

mislibet

imajbet giriş

artemisbet

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

markajbet güncel giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

madridbet giriş

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

holiganbet

kingroyal giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

kıbrıs escort

taksimbet

jojobet güncel giriş

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

türk ifşa

vdcasino

Featured Kitaifa

MAJALIWA AITAKA TAMISEMI KUCHUNGUZA MATUMIZI YA FEDHA ZA MIRADI

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisoma hotuba ya kuahirisha Mkutano wa Sita wa Bunge jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt.  Eliezer Feleshi, bungeni jijini Dodoma, Februari 18, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

…………………………………………

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI afanye uchunguzi wa matumizi ya fedha za miradi ya UVIKO-19 na miradi mingine na kuchukua hatua za kinidhamu kwa viongozi na watendaji wote watakaobainika kufanya ubadhirifu.

Mheshimiwa Majaliwa amechukua hatua hiyo baada ya baadhi ya Halmashauri nchini kubainika kuwa na matumizi yasiyoridhisha ya fedha zilizotolewa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali hususan miradi ya UVIKO-19.

Ametoa agizo hilo leo (Ijumaa, Februari 18, 2022) wakati akiahirisha Mkutano wa Sita wa Bunge la 12 Bungeni Jijini Dodoma. Mheshimiwa Majaliwa ametumia fursa hiyo kusisitiza kwamba hatua kali ziendelee kuchukuliwa dhidi ya wote wanaobainika kufanya ubadhirifu.

“Kutokana na taarifa za ubadhirifu mkubwa katika baadhi ya Halmashauri, Serikali itapeleka timu maalumu ya uchunguzi ili kujiridhisha na matumizi ya fedha za umma.”

Pia, Waziri Mkuu ameendelea kuwasisitiza Waheshimiwa Wakuu wa Mikoa kufanya ukaguzi wa mara kwa mara wa matumizi ya fedha na utekelezaji wa miradi ya maendeleo ili kuhakikisha miradi hiyo inaakisi thamani ya fedha za Watanzania.

Wakati huo huo, Waziri Mkuu amesema Serikali imeendelea kutekeleza kwa mafanikio makubwa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19 wenye thamani ya shilingi trilioni 1.3.

Amesema utekelezaji wa mpango huo, unaimarisha upatikanaji sambamba na kusogeza huduma za jamii karibu na wananchi ambapo hadi kufikia Januari 2022, shilingi bilioni 599.7 zimetolewa kwa upande wa Tanzania Bara kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya Mpango huo.

Mheshimiwa Majaliwa ameongeza kuwa shilingi bilioni 231 ikiwa ni sehemu ya shilingi trilioni 1.3, zimepelekwa Zanzibar kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya aina hiyo.  “Na sehemu kubwa ya fedha hizo zimetumika kupunguza msongamano wa wanafunzi kwa kuongeza madarasa.

Amesema jumla ya madarasa 12,000 yamejengwa katika shule za sekondari huku madarasa 3,000 yakijengwa katika vituo shikizi na mabweni 50 kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu. Kitendo hiki ni utekelezaji wa vitendo wa utoaji haki na usawa katika upatikanaji wa elimu nchini.

“Ujenzi huo wa vyumba vya madarasa umewezesha wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2022 na kuondoa changamoto ya kuwepo kwa chaguo la pili yaani second selection na wakati mwingine chaguo la tatu.”

Waziri Mkuu amesema sekta zilizopata fedha hizo hadi Desemba 2021 ni Afya shilingi bilioni 180.4; Elimu shilingi bilioni 353.4; Maji shilingi bilioni 32.7; Utalii shilingi bilioni 26.8; na uwezeshaji wa kaya maskini kupitia TASAF shilingi bilioni 5.5.

Amesema Serikali itaendelea kutoa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi hiyo kwa kuzingatia mipango kazi ya mafungu husika, taratibu za maombi ya fedha na mikataba ya kazi zinazokusudiwa kutekelezwa. “Nitoe wito kwa viongozi na watendaji wote wa sekta husika kuongeza kasi ya utekelezaji wa miradi husika ili ikamilike katika muda uliopangwa.”

“Waswahili hunena mwenye macho haambiwi tazama. Sote tu mashuhuda wa mafanikio hayo sambamba na maeneo mengine ambayo kiuhalisia yanaakisi kazi nzuri inayofanywa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa nia ya kuwaletea maendeleo Watanzania.”

Hivyo, Mheshimiwa Majaliwa ametumia fursa hiyo kutoa wito kwa Watanzania wote bila kujali kujali itikadi zao waendelee kumuunga mkono kwa moyo wa dhati Mheshimiwa Rais Samia ili aweze kutimiza azma yake ya dhati ya kujenga uchumi imara, shindani na endelevu.

About the author

Alex Sonna