RC MAKALA: TATHIMINI 28% YA WAKANDARASI WA USAFI NA UZOAJI TAKA NDIYO WANAOFANYA VIZURI...
- Tathimini imeonyesha 67% wanafanya kazi wastani Na 5% hawaridhishi.
- Awataka kubadilika Na atafanya tena tathimini mwezi March Na watakaoendelea kusuasua wataondolewa.
- Ni Baada...
DK.MOLLE AFANYA MAZUNGUMZO KWA NJIA YA MTANDAO KUJADILI FURSA YA UWEKEZAJI KIWANDA CHA KUZALISHA...
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amefanya mazungumzo kwa njia ya mtandao na Bi. Joy Phumaphi Katibu Mtendaji wa Taasisi ya...
WATOTO SABA WASIKIA SAUTI KWA MARA YA KWANZA TANGU KUZALIWA
Mtoto Cayleen Regan akifurahi baada ya kuanza kusikia kwa mara tangu kuzaliwa, Kulia ni mtaalamu wa matamshi (Speech Therapist) Bi Christina Simangwa. Cayreen ni...
SERIKALI YAWEKA ULINZI KUZUIA USAFIRISHAJI WANYAMAPORI HAI NJE YA NCHI
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amesema Serikali imeweka ulinzi katika malango ya kutokea ya viwanja vya ndege, bandari, barabara...
WIZARA, WADAU WAKAA MEZA MOJA KUUJADILI MUONGOZO WA TAIFA WA UENDESHAJI MABARAZA YA USULUHISHI...
Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii Baraka Makona akizungumza katika kikao cha wadau waliokutana mkoani Morogoro kujadili Mwongozo wa Taifa wa uendeshaji wa Mabaraza ya...
WASANII WATAKIWA KUZALISHA KAZI ZENYE UBORA ZINAZOKUBALIKA NDANI YA NCHI NA KIMATAIFA
Na Eleuteri Mangi- WUSM, Dodoma
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul amekutana na Wasanii wa tamthilia ya Huba na kufanya nao...
TANZANIA YAPATA MSAADA WA EURO MILIONI 425 KUTOKA ULAYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya...
DKT.TULIA AZINDUA KADI MPYA ZA UANACHAMA ZA KIELEKTRONIKI ZA YANGA,AITAKA KUWA NA MIPANGO ZAIDI
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson , akimkabidhi Waziri ofisi ya Rais Kazi Maalum Mhe. Cpt. George Mkuchika kadi namba moja ya uanachama...
RAIS DK.MWINYI AJUMUIKA KATIKA SALA YA IJUMAA NA WANANCHI WA KIJITOUPELE NA KUMJULIA HALI...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasailimia Waumini wa Dini ya Kiislam baada...