Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

MIGOGORO YA ARDHI ITATULIWE KABLA YA URASIMISHAJI KUANZA

Written by mzalendo

Katibu Tawala wa Wilaya ya Shinyanga Bw. Said Kitinga akifungua kikao cha kujadili utekelezaji wa Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya hiyo tarehe 2Juni 2024 Mkoani Shinyanga.

Wadau wa Sekta ya Ardhi katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga waliohudhuria Mkutano wa Wadau kujadili utekelezaji wa Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi tarehe 2Juni 2024 Mkoani Shinyanga.

Na. Magreth Lyimo, MLHHSD

Serikali imewaagiza viongozi katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga kuwaelimisha wananchi kuhusu umuhimu wa kumaliza migogoro ya mipaka, matumizi ya ardhi na umiliki wa ardhi baina yao mapema ili kuharakisha utekelezaji Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) pindi utakapoanza utekelezaji.

Agizo hilo limetolewa tarehe 28 Juni 2028 na Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Julius Mtatiro katika hotuba yake iliyosomwa kwa niaba na Katibu Tawala wa wilaya hiyo Bw. Said Kitinga wakati wa ufunguzi wa kikao cha kujadili utekelezaji wa mradi wa LTIP katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga.

Amesema, kila kiongozi katika eneo lake atoe elimu sahihi kwa wananchi juu ya utekelezaji wa mradi huo ili utekelezwe kwa ufanisi na kutimiza lengo la kuboresha usalama wa milki za ardhi kwa watanzania.

‘‘Katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga takribani Viwanja 40,474 vitatambuliwa, vitapangwa, vitapimwa na kumilikishwa kwa wananchi katika maeneo yatakayofikiwa na mradi pamoja na kutatua changamoto za migogoro ya ardhi, kutoa elimu ya masuala ya ardhi pamoja na kutoa hamasa juu ya usawa wa kijinsia katika umiliki wa ardhi’’ amesema Mtatiro

Ameongeza kuwa, Utekelezaji mradi huo utahusisha utambuzi wa kila kipande cha ardhi, Upangaji wa maeneo yote yaliyotambuliwa kwa kuandaa michoro ya mipangomiji, Upimaji wa viwanja vilivyopangwa kwa kuweka alama za upimaji na kuandaa ramani za upimaji na wananchi kumilikishwa maeneo yao kwa kupewa Hatimilki. 

Mwakilishi wa Makundi Maalum Bw. Isaack Timothy amesema kuwa, wamepata elimu ya masuala ya ardhi na namna mradi utatekelezwa katika wilaya yao na kukiri kuwa wamefurahi kuona namna ambavyo makundi maalum yamepewa kipaumbele katika utekelezaji wa mradi huu.

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) umedhamira kumaliza changamoto ya makazi holela kwa kuyafikia maeneo ambayo yameendelezwa bila kupangwa na hayajafikiwa na zoezi la urasimishaji katika Halmashauri zipatazo 60 nchini.

About the author

mzalendo