Featured • Kitaifa MAJALIWA KUMWAKILISHA RAIS SAMIA BARAZA LA MAULID KITAIFA 1 month agoby Alex Sonna25 Views Written by Alex Sonna Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 05, 2025 amewasili mkoani Tanga ambapo atamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika baraza la Maulid Kitaifa linalofanyika Wilayani Korogwe mkoani humo. FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn