Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI IBADA MAY 08 MKOANI KIGOMA

Written by mzalendoeditor

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akizungumza na waumini mara baada ya kumalizika kwa  Ibada ya Misa Takatifu Dominika ya Nne  ya Pasaka katika Kanisa Kuu katoliki la Bikira Maria Mshindaji Jimbo la Kigoma leo tarehe 08 Mei 2022

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango pamoja na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakishiriki Ibada ya Misa Takatifu Dominika ya ya Nne ya Pasaka  katika Kanisa Kuu katoliki la Bikira Maria Mshindaji Jimbo la Kigoma leo tarehe 08 Mei 2022.

About the author

mzalendoeditor