Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

vdcasino

lordcasino

marsbahis

vipslot

celtabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

betlivo

eyfelcasino

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

casival

luxbet

betnis

parmabet

betvoy

meritking

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

armabahis

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

betlivo

hazbet

netbahis

betra

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betewin

jojobet

betmarino

avrupabet

lordcasino giriş

dengebet

celtabet

betcool

kareasbet

betcool

millibahis

betnis giriş

casival

betvoy

hazbet

betnef

avrupabet

betmarino giriş

betmani

betvakti

marsbahis

prensbet

betmani

millibahis

eyfelcasino

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

gobahis

betnef

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

armabahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

mislibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

grandpashabet

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

betvakti

parmabet

gobahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

mislibet giriş

cratosroyalbet

mislibet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betsat

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

Featured Kitaifa

DKT.ABDALLAH:FCC YAJIDHATITI KULINDA HAKI ZA WALAJI NA KUDHIBITI BIDHAA BANDIA

Written by Alex Sonna

 

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah,akizungumza  wakati akifungua Semina ya Uhamasishaji wa Masuala ya Ushindani, Kumlinda Mlaji na Udhibiti wa Bidhaa Bandia iliyofanyika leo Oktoba 15,2025 katika ukumbi wa The New Kiboko, jijini Tanga.

Na.Mwandishi Wetu-Tanga

Katibu Mkuu Wizara ya  Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah  amesisitiza kuwa dhamira ya Serikali ni kulinda haki za walaji na kudhibiti bidhaa bandia kupitia Tume ya Ushindani (FCC) ambayo ina mchango mkubwa katika kukuza viwanda nchini na kuhakikisha wananchi wanapata bidhaa bora, salama na zenye bei stahiki.

Akizungumza jijini Tanga wakati akifungua Semina ya Uhamasishaji wa Masuala ya Ushindani, Kumlinda Mlaji na Udhibiti wa Bidhaa Bandia iliyofanyika katika ukumbi wa The New Kiboko, Tanga Ltd Oktoba 15,2025, Dkt. Abdallah alisema semina hiyo imelenga kuongeza uelewa wa watendaji katika kuhakikisha masoko nchini yanabaki na ushindani wa haki unaowezesha maendeleo endelevu ya sekta ya viwanda na biashara.

Aidha, Dkt. Abdallah alimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa miongozo yake ya kukuza sekta ya viwanda na biashara huku akibainisha kuwa Serikali itaendelea kuimarisha mazingira ya ushindani yanayochochea ubunifu na ukuaji wa sekta ya viwanda.

Pia ameipongeza Tume ya Ushindani (FCC) kwa kupata Cheti cha Ithibati cha Ubora (ISO Certificate 9001:2015), hatua hii ni ishara ya utoaji huduma zenye viwango vya kimataifa na hatua hiyo itaimarisha imani ya wadau na wawekezaji nchini.

Kwa upande wake, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa FCC, Bi. Khadija Ngasongwa, amesema FCC inaendelea kufanya doria na ukaguzi katika masoko kwa lengo la kuhakikisha bidhaa zinazouzwa zinakidhi vigezo na hadhi ya soko na kupunguza bidhaa bandia na kulinda afya na maslahi ya walaji.

Naye, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw.Sempeho Manongi, amesema kuwa semina hii itasaidia Menejimenti ya Wizara na FCC kuelewa kwa kina sheria za ushindani, kumlinda mlaji na mbinu za kudhibiti bidhaa bandia katika mazingira ya sasa ya biashara ya kidijitali.

Vilevile, Mkurugenzi wa Tafiti Muungano ya Makampuni na Utoaji wa Elimu Bi. Zaytun Kikula amesema, ni muhimu kwa Menejimenti ya Wizara kujua sheria zinazohusiana na majukumu makubwa ya FCC katika kuhakikisha Soko linaimarika na walaji wanapata bidhaa sahihi ili kusimamia vyema taasisi zake na kutoa ushauri wa kisera unaozingatia maslahi ya walaji na maendeleo ya sekta ya viwanda nchini.

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah,akizungumza  wakati akifungua Semina ya Uhamasishaji wa Masuala ya Ushindani, Kumlinda Mlaji na Udhibiti wa Bidhaa Bandia iliyofanyika leo Oktoba 15,2025 katika ukumbi wa The New Kiboko, jijini Tanga.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa FCC, Bi. Khadija Ngasongwa,akizungumza  wakati wa  Semina ya Uhamasishaji wa Masuala ya Ushindani, Kumlinda Mlaji na Udhibiti wa Bidhaa Bandia iliyofanyika leo Oktoba 15,2025 katika ukumbi wa The New Kiboko, jijini Tanga.

Sehemu ya washiriki wakisikiliza hotuba ya Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah (hayupo pichani)   wakati akifungua Semina ya Uhamasishaji wa Masuala ya Ushindani, Kumlinda Mlaji na Udhibiti wa Bidhaa Bandia iliyofanyika leo Oktoba 15,2025 katika ukumbi wa The New Kiboko, jijini Tanga.

Sehemu ya washiriki wakisikiliza hotuba ya Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah (hayupo pichani)   wakati akifungua Semina ya Uhamasishaji wa Masuala ya Ushindani, Kumlinda Mlaji na Udhibiti wa Bidhaa Bandia iliyofanyika leo Oktoba 15,2025 katika ukumbi wa The New Kiboko, jijini Tanga.

Sehemu ya washiriki wakisikiliza hotuba ya Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah (hayupo pichani)   wakati akifungua Semina ya Uhamasishaji wa Masuala ya Ushindani, Kumlinda Mlaji na Udhibiti wa Bidhaa Bandia iliyofanyika leo Oktoba 15,2025 katika ukumbi wa The New Kiboko, jijini Tanga.

Sehemu ya washiriki wakisikiliza hotuba ya Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah (hayupo pichani)   wakati akifungua Semina ya Uhamasishaji wa Masuala ya Ushindani, Kumlinda Mlaji na Udhibiti wa Bidhaa Bandia iliyofanyika leo Oktoba 15,2025 katika ukumbi wa The New Kiboko, jijini Tanga.

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua Semina ya Uhamasishaji wa Masuala ya Ushindani, Kumlinda Mlaji na Udhibiti wa Bidhaa Bandia iliyofanyika leo Oktoba 15,2025 katika ukumbi wa The New Kiboko, jijini Tanga.

About the author

Alex Sonna