Featured Photos

HESHIMA ZA MWISHO ZA KITAIFA KWA HAYATI NDUGAI

Written by mzalendo

Viongozi mbalimbali wakitoa heshima za mwisho kwa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Yustino Ndugai leo tarehe 10 Agosti 2025 katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

About the author

mzalendo