Featured Kitaifa

RAIS DKT. MWINYI AMEMUAPISHA MKUU WA MKOA WA KUSINI UNGUJA NA WAKUU WA WILAYA ALIOWATEUWA HIVI KARIBUNI

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Hamida Mussa Khamis, kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 3-7-2025.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi hati ya kiapo Mhe.Hamida Mussa Khamis, baada ya kumuapisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja leo 3-7-2025, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Cassian Gallos Nyimbo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 3-7-2025.(Picha na Ikulu).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi hati ya kiapo Mhe.Cassian Gallos Nyimbo, baada ya kumuapisha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 3-7-2025, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Rajab Ali Rajab kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja, hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 3-7-2025.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Miza Hassan Faki kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba, hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 3-7-2025.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi hati ya kiapo Mhe.Miza Hassan Faki, baada ya kumuapisha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba leo 3-7-2025, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor