Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betpark

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

WIZARA YAENDELEA KUIFIKIA MIKOA ISIYOFANYA VIZURI ANWANI ZA MAKAZI

Written by Alex Sonna
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohammed Khamis Abdulla (Kulia), akizungumza alipotembelea Karakana ya VETA Singida kukagua utengenezaji wa mbawa za nguzo za majina ya barabara na mitaa, wakati wa ziara ya kukagua utekelezaji wa Mfumo wa Anwani za Makazi katika mkoa huo.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohammed Khamis Abdulla (wa tatu kushoto) alipozuru katika ofisi za Chuo cha VETA Mkoa wa Singida kukagua hatua za utengenezaji wa nguzo za majina ya barabara na mitaa zinazoendelea kutengenezwa katika Karakana ya chuo hicho, Wa pili kushoto ni Katibu Tawala Mkoa wa Singida, Dorothy Mwaluko.
Kikao kabla ya ukaguzi kikifanyika.
Kikao kikiendelea.
 
************************
 
Faraja Mpina na Chedaiwe Msuya -WHMTH
 
NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohammed Khamis Abdulla ametoa siku nane kuanzia Aprili 27 /2022 hadi Mei 5/2022 kwa watendaji wa Mkoa wa Singida kusimika nguzo zenye majina ya barabara na mitaa pamoja na namba za nyumba katika halmashauri zote saba za mkoa huo.
 
Akizungumza katika ziara yake mkoani hapo mara baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa operesheni ya Anwani za Makazi, Naibu Katibu Mkuu amesema eneo pekee ambalo mkoa huo umefanya vizuri ni ukusanyaji wa taarifa za wakazi na makazi, na maeneo mawili yaliyosababisha wawe katika nafasi za mkiani ni kutokuweka nguzo zenye majina ya barabara na mitaa pamoja nan amba za nyumba,
 
“Nikiangalia muda uliobaki na nilichokisikia hapa haviendi sawa, wakurugenzi na watendaji wa halmashauri hakikisheni ifikapo Mei 5 nguzo zenye majina ya barabara na mitaa zisimikwe na namba za nyumba ziwekwe, kuanzia Mei 6 timu ya wataalamu ya Wizara itakuja kufanya uhakiki “physical verification” ya uwekaji wa miundombinu ya Anwani za Makazi katika mkoa huu”, alisema Abdulla.
 
Ameongeza kuwa, zoezi la uwekaji wa Anwani za Makazi lisipokamilika kwa muda uliopangwa litakwamisha zoezi la sensa ya watu na makazi, na akiangalia mwenendo wa uwekaji wa nguzo zenye majina ya barabara na mitaa na uwekaji wa namba za nyumba kwa halmashauri zote za mkoa wa Singida utekelezaji wake ni wastani wa asilimia 3 hadi 4.
 
“Ni aibu hata sie watekelezaji wa operesheni hii bado hatuna Anwani za Makazi, mpaka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida hauna kibao cha Anwani ya Ofisi, tuhakikishe ndani ya siku mbili hadi tatu kuanzia leo tarehe 27, Mei, 2022 ofisi zote za Serikali ndani ya Mkoa wa Singida zimewekwa Anwani za Makazi, na taarifa ya utekelezaji iwasilishwe Wizarani kupitia Meneja wa Mkoa wa Singida wa Shirika la Posta Tanzania”. alisisitiza.
 
Awali, taarifa za utekelezaji wa operesheni ya Anwani za Makazi katika Mkoa wa Singida ziliainisha changamoto za utekelezaji zilizojitokeza ikiwemo uhaba wa fedha ambapo Naibu Katibu Mkuu aliipangua hoja hiyo kwa kuwakumbusha kuwa Mamlaka ya juu inapotoa agizo hakuna visingizio kwenye utekelezaji.
 
“Muongozo upo, bajeti ni ndogo lakini ni lazima zoezi hili likamilike, ukishakusanya taarifa kwenye kuandika namba za nyumba tafuteni rangi, chaki au mkaa ili mradi namba ikiandikwa ionekane ili watu wa sensa wakija wajue hii ni nyumba namba fulani, iliyopo mtaa fulani na mwananchi atakayetaka kuweka namba yake kulingana na muongozo aruhusiwe.”
 
Viongozi na watendaji wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wameendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa operesheni ya Anwani za Makazi hasa katika mikoa ambayo haifanyi vizuri.
 
Mikoa takribani 20 imefikiwa kwa ukaguzi na uhamasishaji wa utekelezaji wa operesheni ya Anwani za Makazi .

About the author

Alex Sonna