Featured Kitaifa

POLENI BABA ASKOFU

Written by mzalendoeditor

 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwasalimia na kuwapatia pole viongozi wa dini, wakiongozwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Baba Askofu Alex Gehaz Malasusa, wakati wa mazishi ya kitaifa ya Hayati Mzee Cleopa David Msuya, Makamu wa Rais wa Kwanza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yaliyoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika Kijiji cha Chomvu, Mwanga, mkoani Kilimanjaro, Jumanne, tarehe 13 Mei 2025. Shughuli hiyo ilitanguliwa na ibada ya kumuaga Hayati Msuya iliyofanyika katika Kanisa la KKKT, Kristo Mchungaji Mwema, Usharika wa Usangi Kivindu, Dayosisi ya Mwanga, Jimbo la Kaskazini.

About the author

mzalendoeditor