marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

marsbahis giriş

NervEase

kocaeli escort

izmit escort

escort bayan

matbet

sekabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

bahiscasino

betoffice

marsbahis

perabet giriş

interbahis

grandbahis

betpipo giriş

imajbet

betpipo

grandbahis giriş

marsbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

betparibu, betparibu giriş

zirvebet, zirvebet giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

meritking

jojobet

holiganbet

meritking güncel giriş

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betine

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betosfer

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

aaa

Starzbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

casibom giriş

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

bets10 giriş

Milanobet

jojobet

grandpashabet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10 giriş

pokerklas

lordcasino

lordcasino giriş

imajbet

betmarino giriş

perabet

betmarino

belugabahis

belugabahis giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

grandpashabet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

pokerklas

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

cratosroyalbet

vdcasino

bets10

perabet

perabet

perabet giriş

imajbet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

elitbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10 giriş

casibom

holiganbet giriş

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

imajbet

imajbet giriş

jojobet

casibom

casibom

jojobet güncel giriş

casibom

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

vipslot

deneme bonusu 2026

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

sekabet giriş

deneme bonusu

hackhaber

Featured Kitaifa

SERIKALI IMETOA BIL 424.6 UTEKELEZAJI MIRADI YA TANRODS RUKWA-ENG MWANGA

Written by Alex Sonna

Katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa zaidi ya shilingi bilioni 424.6 kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya Kitaifa ikiwemo Ukarabati wa uwanja wa Ndege Sumbawanga na ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami. Aidha, kuna kazi za Matengenezo ya barabara pamoja na kazi za dharura zilizotekelezwa zikijumuisha miradi ya usanifu wa Barabara za TANROADS mkoa wa Rukwa.

Mkoa wa Rukwa una mtandao wa Barabara wa kilometa 1250.84, katika mtandao huo, Barabara kuu ni kilometa 415.86 na Barabara za mkoa ni kilometa 834.98 kati hizo barabara kuu za lami ni Kilometa 298.35 na Barabara kuu changarawe ni kilometa 117.51. Kwa upande wa Barabara za Mkoa kiwango cha lami ni kilometa 76.83 na Barabara za mkoa Changarawe ni Kilometa 758.15.

Akizungumza ofisi kwake Mjini Sumbawanga leo tarehe 20 Octoba 2025 Meneja wa TANROADS Mkoa wa Rukwa Mhandisi Mgeni Mwanga amesema kuwa serikali inaendelea na ukarabati na uboreshaji wa uwanja wa ndege wa Sumbawanga ambao umefikia asilimia 86 na unajengwa na mkandarasi Beijing Construction Engineering Group Co Ltd chini ya Mhandisi Mshauri SMEC International kwa ushirikiano na SMEC Tanzania Ltd chini ya ufadili wa Benki ya Uwekezaji ya Ulaya kwa gharama ya shilingi bilioni 60.1

Mhandisi Mwanga amesema kuwa serikali inaendelea na kazi ya dharura ya ujenzi wa madaraja 3 katika Barabara ya Kasansa – Kilyamatundu yaliyoharibika kutokana na mvua za El-Nino na Kimbunga Hidaya kwa gharama ya shilingi Bilioni 23.183 yanayojengwa na Mkandarasi M/s STECOL Corporation huku Mhandisi Mshauri akiwa ni TECU. Miradi hiyo ni Pamoja na ujenzi wa daraja la Kisa lenye urefu wa meta 40, Kinambo II lenye urefu wa meta 50 na Daraja la Ilemba (Mkanga I&II) lenye urefu wa meta 60. Miradi yote hii inafadhiliwa na Benki ya Dunia. “Daraja la 4 ni la Lwanji lenye urefu wa meta 200 ambalo lipo katika hatua za manunuzi lililopo katika mji mdogo wa mto Wisa kwa gharama ya shilingi Bilioni 28” Amesisitiza

Ameutaja mradi uliokamilika kuwa ni Mradi wa Ujenzi wa Barabara kwa kiwango cha lami ya Sumbawanga – Matai – Kasanga ulifadhilia na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa asilimia 100 yenye urefu wa kilometa 107 uliyogharimu shilingi bilioni 133.286 kupitia mkandarasi CR15 kwa ushirikiano na New Century zote za nchini China.

“Tuna ujenzi wa miradi ya kimkakati inayoendela ya ujenzi wa kiwango cha lami ambayo imegharamiwa kwa asilimia 100 na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni bararabara ya kutoka Matai – Kasesya ambapo sehemu ya kwanza ni kutoka Matai – Tatanda yenye urefu wa kilometa 25 kwa gharama ya shilingi bilioni 37.353 na awamu ya pili inaanzia Tatanda – Kasesya yenye urefu wa kilometa 25 kwa gharama ya shilingi bilioni 36.366 miradi yote inajengwa na Mkandarasi M/s China Geo Engineering Corporation (CGC)” Amekaririwa Mhandisi Mwanga

Mhandisi Mwanga ameutaja mradi mwingine wa kimkakati unaoendelea ambao ni Ujenzi wa Barabara kwa kiwango cha lami ya Ntendo – Muze – Kilyamatundu iliyofadhiliwa na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa asilimia 100 yenye urefu wa kilometa 179 ambapo utekelezaji kwa awamu ya kwanza umeanza na kilometa 25 kutoka Ntendo – Kizungu unaotekelezwa na mkandarasi CGC huku ukisimamia wa mhandisi mshauri ni 7 Engeneering Co Ltd kwa gharama ya shilingi bilioni 45.299

Amesema kuwa kukamilika kwa uwanja wa ndege Sumbawanga, Barabara na madaraja kutarahisisha huduma za biashara, kupunguza muda wa usafiri na usafirishaji, urahisi wa wananchi kufikia huduma za jamii Pamoja na kuipunguzia serikali gharama za mara kwa mara za matengezo ya Barabara.

Aidha, kukamilika kwa miradi yote hiyo ikiwemo uwanja wa ndege wa Sumbawanga kutafungua fursa za kiuchumi kati ya Tanzania na nchi jirani ya Zambia, Malawi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hususani kulifikia soko la SADEC kiurahisi na lango kuu la kuingilia nchi za SADEC.

About the author

Alex Sonna