Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AKIZUNGUMZA NA BALOZI NCHIMBI MARA BAADA YA KUWASILI NCHINI

Written by mzalendoeditor

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Balozi. Dkt. Emmanuel Nchimbi mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, akitokea Vatican katika Mazishi ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani hayati Baba Mtakatifu Francisko. Tarehe 28 Aprili 2025.

About the author

mzalendoeditor