Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

timebet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

nerobet

betcup

casinofast giris

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

jojobet giriş

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

tarafbet

meritbet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betsat

jojobet

marsbahis

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

betpas

perabet

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat giriş

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

Featured Kitaifa

SERIKALI YAISHUKURU SINOSURE KWA UDHAMINI WA KIPANDE CHA TANO CHA SGR

Written by Alex Sonna
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mb) na Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) (kulia), wakimkabidhi zawadi Mhe. Tang Wenhong, Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China, baada ya kuhitimisha kikao kilicholenga kukuza ushirikiano wa kiuchumi na kidiplomasia kati ya Tanzania na China, katika ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Johari Rotana, jijini Dar es Salaam.
Na. Saidina Msangi, WF, Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), ameishukuru Serikali ya China kupitia Shirika lake la Bima  SINOSURE, kwa kudhamini mkopo wa kibiashara kwa ajili ya ujenzi wa kipande cha tano (lot 5) cha Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Isaka hadi Mwanza chenye thamani ya dola za Marekani milioni 559, kupitia mkataba uliosainiwa Oktoba 21, 2024.
Shukrani hizo alizitoa wakati wa kikao cha majadiliano kati ya Ujumbe wa Tanzania ulioongozwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mb) na Ujumbe wa China ulioongozwa na Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Tang Wenhong, yaliyofanyika katika Hoteli ya Johari Rotana, jijini Dar es Salaam.
Pamoja na shukrani hizo, Mhe. Chande aliiomba China kuangalia uwezekano wa Kampuni ya Bima ya SINOSURE kushiriki katika ujenzi wa Kipande cha Sita cha Reli ya Kisasa kutoka Tabora hadi Kigoma chenye makadirio ya gharama ya dola bilioni 2.3.
“Fedha za kukamilisha mradi wa ujenzi wa Reli kutoka Tabaora hadi Kigoma zinatarajiwa kutoka katika vyanzo mbalimbali ambapo, dola bilioni 1.1 zinatarajiwa kutoka kwa Taasisi za Fedha za Maendeleo (DFIs), ambapo SINOSURE ni miongoni mwa wadhamini”, alisema Mhe. Chande.
Aidha, Mhe. Chande alisema kuwa ushirikiano wa Tanzania na China umewezesha Serikali ya China kufanikisha upatikanaji wa dola za Marekani milioni 108.6 kwa ajili ya Mradi wa Kuongeza Wigo wa Mawasiliano Vijijini Awamu ya Kwanza na Dola milioni 270.3 kwa ajili ya Mradi wa Usafirishaji Umeme wa 400 kV kutoka Dar es Salaam hadi Arusha, awamu ya kwanza.
Mhe Chande aliongeza kuwa uchumi wa nchi unaendelea kuimarika kutokana na uwekezaji katika miundombinu, utulivu wa uchumi jumla, mfumuko mdogo wa bei na mazingira bora ya uwekezaji.
Kwa Upande wake Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Tang Wenhong, alisema kuwa Serikali ya China itaendelea kuimarisha mahusiano ya kiuchumi na kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili kwa manufaa ya wananchi wa pande hizo mbili.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mb) na Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) (kulia), wakimkabidhi zawadi Mhe. Tang Wenhong, Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China, baada ya kuhitimisha kikao kilicholenga kukuza ushirikiano wa kiuchumi na kidiplomasia kati ya Tanzania na China, katika ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Johari Rotana, jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akizungumza wakati wa kikao na ujumbe wa China ukiongozwa na Mhe. Tang Wenhong, Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China, kilicholenga kukuza ushirikiano wa kiuchumi na kidiplomasia kati ya Tanzania na China, katika ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Johari Rotana, jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mb), akizungumza wakati wa kikao na ujumbe wa China ukiongozwa na Mhe. Tang Wenhong, Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China, kilicholenga kukuza ushirikiano wa kiuchumi na kidiplomasia kati ya Tanzania na China, katika ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Johari Rotana, jijini Dar es Salaam.
Kamishna Msaidizi Idara ya Fedha za Nje, Bw. Melckzedeck Mbise, akizungumza wakati wa kikao na ujumbe wa China ukiongozwa na Mhe. Tang Wenhong, Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China, kilicholenga kukuza ushirikiano wa kiuchumi na kidiplomasia kati ya Tanzania na China, katika ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Johari Rotana, jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wajumbe wa kikao kati ya Serikali ya Tanzania na China wakifuatilia mjadala wakati wa kikao kilichoongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof Kitila Alexander Mkumbo (Mb), kwa upande wa Tanzania na ujumbe wa China ukiongozwa na Mhe. Tang Wenhong, Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China, kilicholenga kukuza ushirikiano wa kiuchumi na kidiplomasia kati ya Tanzania na China, katika ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Johari Rotana, jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof Kitila Alexander Mkumbo (Mb), na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) (katikati), wakijadiliana jambo na Mhe. Tang Wenhong, Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China, baada ya kikao cha majadiliano kilicholenga kukuza ushirikiano wa kiuchumi na kidiplomasia kati ya Tanzania na China, katika ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Johari Rotana, jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) (katikati), akiagana na Mhe. Tang Wenhong, Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China, baada ya kikao cha majadiliano kilicholenga kukuza ushirikiano wa kiuchumi na kidiplomasia kati ya Tanzania na China, katika ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Johari Rotana, jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mb), (wa sita kushoto) na Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) (wa tano kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Tang Wenhong, Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China (wa sita kulia), baada ya kikao cha majadiliano kilicholenga kukuza ushirikiano wa kiuchumi na kidiplomasia kati ya Tanzania na China, kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Johari Rotana, jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof Kitila Alexander Mkumbo (Mb), na Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) (kulia), wakipitia taarifa za kikao kabla ya kuanza kwa kikao na ujumbe wa China ukiongozwa na Mhe. Tang Wenhong, Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China (wa sita kulia), katika kikao cha majadiliano kilicholenga kukuza ushirikiano wa kiuchumi na kidiplomasia kati ya Tanzania na China, kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Johari Rotana, jijini Dar es Salaam.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dar es Salaam)

About the author

Alex Sonna