Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI AFUNGA ZIARA MAALUMU YA MABALOZI WANAOWAKILISHA NCHI ZAO TANZANIA

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akihutubia  wakati wa hafla ya ufungaji  wa ziara Maalumu ya Mabalozi wanaowakilisha Nchi zao Nchini Tanzania “Diplomatic Safari and Tour”,kutembelea Vivutio vya Utalii Tanzania Bara na Zanzibar,  hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Kwanza  Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja.(Picha na Ikulu)

BAADHI ya Mabalozi wanaowakilishi Nchi zao Tanzania na Maofisha wa Taasisi za Serikali, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya ufungaji wa Ziara Maalumu ya kutembelea Vivuyio vya Utalii Nchini Tanzania kwa Mabalozi mbalimbali, iliyomalizikia Zanzibar, ufungaji huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Kwanza Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor