Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

BAKWATA MWANZA WAZINDUA HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA VITUO VYA AFYA

Written by Alex Sonna
Barazaka Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) Mkoa Mwanza limezindua harambee kwa ajili ya kufanikisha upatikanaji wa fedha ili kukamilisha ujenzi wa Vituo vya Afya vya Baraza hilo katika Wilaya zote mkoani Mwanza.
Uzinduzi wa harambee hiyo umefanyika Jumamosi Aprili 23, 2022 katika Msikiti wa BAKWATA Mkoa Mwanza uliopo Mirongo jijini Mwanza na kuhudhuriwa na waumini na viongozi wa dini, Serikali pamoja na wadau mbalimbali.
Sheikh wa BAKWATA Mkoa Mwanza, Hassan Kabeke amesema ujenzi wa vituo hivyo vya afya mkoani Mwanza ni sehemu ya utekelezaji wa mpango mkakati wa miaka mitano wa baraza hilo ulionza kutekelezwa mwaka 2019 hadi 2023.
Amesema awali baraza hilo halikuwa na kituo cha afya hata kimoja jambo ambalo liliifanya jamii ya kiislamu kuonekana iko nyuma katika suala la maendeleo na kwamba huu ni wakati mwafaka wa kuondoa aibu hiyo.
“Hatukuwa na kituo cha afya hata kimoja, hatuwezi kuendelea kuwa watu wa kuchekwa hivyo niwasihi kila mmoja wetu aguswe na kuchangia kwenye mradi huu ambapo harambee rasmi itafanyika Julai 30, 2022” amesema Sheikh Kabeke.
Katika hatua nyingine Sheikh Kabeke ameomba Serikali kuunga mkono jitihada hizo kwani BAKWATA inachofanya ni kuondoa majungu na manung’uniko ambayo yamekuwa yakijitokeza kwa jamii ya kiislamu inapoona Serikali ikitoa fedha kwenye taasisi za afya zinazomilikiwa na dini nyingine.
Katibu wa BAKWATA Mkoa Mwanza, Sheikh Ramadhani Chanila amesema utekelezaji wa ujenzi wa vituo vya afya vya BAKWATA mkoani Mwanza tayari umeanza tayari umeanza kupitia michango ya wadau mbalimbali ambapo kiasi cha shilingi milioni 25 kimekusanywa na kuanzisha ujenzi katika Wilaya ya Ilemela, Sengerema na Misungwi
“Katika Wilaya ya Ilemela ujenzi umefikia hatua ya madirisha, Sengerema hatua ya renta na Misungwi katika hatua ya msingi. Katika Wilaya za Kwimba na Magu zoezi la kutambua viwanja vya utekezaji wa mradi linaendelea” amesema Sheikh Chanila na kuongeza kuwa awamu ya kwanza ya mradi huo ambayo ni majengo inaratajiwa kugharimu shilingi bilioni 2.8.
Akizindua harambee hiyo iliyoambatana na Baraka za mvua, Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel amesema hilo ni jambo la Mwenyezi Mungu hivyo yeyoye atakayechangia atabarikiwa ikizingatiwa huu ni Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ambapo ametumia fursa hiyo kutoa rai kwa taasisi mbalimbali ikiwemo za kifedha kuunga mkono ujenzi huo.
“Kwa kuwa hili ni jambo la Mwenyezi Mungu acha nipambane, nilitekeleze na nitabarikiwa mimi na familia yangu. Nina watoto saba, niliomba 12, huwezi kujua nitapata wangapi kwa sadaka hii” alidokeza Mhandisi Gabriel akiwahamasisha wadau mbalimbali kuchangia harambee hiyo.
Miongoni mwa wadau waliohudhuria harambee hiyo ni pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la KIVULINI, Yassin Ally ambaye amewakumbusha waumini wa dini ya kiislamu kuwa wanapotimiza ibada ya Swala wasisahau pia kutimiza wajibu wao ikiwemo kuwajibika katika malezi bora katika familia ili kuondoa wimbi la watoto wa mitaani huku akiunga mkono harambee hiyo kwa kuchangia shilingi milioni mbili.
Uzinduzi wa harambee hiyo umefanikisha upatikanaji wa fedha taslimu na ahadi kiasi cha shilingi milioni 28.7 ambapo wadau wamehimizwa kuchangia kupitia Benki ya CRDB akaunti nambari 01 50 65 81 86 00 jina BAKWATA HARAMBEE ambapo kilele chake ni Julai 30, 2022.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel akitambulisha akaunti ya benki kwa ajili ya kupokea michango ya harambee kutoka kwa wadau mbalimbali ili kufanikisha ujenzi wa vituo vya afya vya BAKWATA mkoani Mwanza.
Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel akijionea ramani za ujenzi wa vituo vya afya vya BAKWATA mkoani Mwanza pamoja na kutambulisha nambari za kupokea michango kutoka kwa wadau.
Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel akizungumza kwenye uzinduzi wa harambee ya kuchangia ya vituo vya afya vya BAKWATA mkoani Mwanza.
Waumini wa dini ya kiislamu pamoja na wadau mbalimbali wakifuatilia harambee hiyo iliyofanyika Msikiti wa BAKWATA jijini Mwanza.
Sheikh wa BAKWATA Mkoa Mwanza, Hassan Kabeke akizungumza kwenye uzinduzi wa harambee hiyo.
Katibu wa BAKWATA Mkoa Mwanza, Ramadhani Chanila akisoma taarifa ya utekelezaji mradi wa vituo vya afya vya BAKWATA mkoani Mwanza wakati wa uzinduzi wa harambee ya kuchangia mradi huo.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Kiislamu Mkoa Mwanza, Amina Masenza ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa Mstaafu akiwahamasisha akina mama kuchangia harambee hiyo akisema ujenzi wa huokoa maisha ya akina mama hususani wakati wa kujifungua.
Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel akipokea kadi nambari moja kufungua jaramba la uchangiaji ujenzi wa vituo vya afya vya BAKWATA mkoani Mwanza.
Sheikh wa BAKWATA Mkoa Mwanza Hassan Kabeke (kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel (kulia) kadi 70 kwa ajili ya kuwaalika wadau mbalimbali ili wafanikishe harambee ya ujenzi wa vituo vya afya vya BAKWATA mkoani Mwanza.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la KIVULINI, Yassin Ally akitoa salamu wakati wa harambee hiyo ambapo amechangia shilingi milioni mbili ili kufanikisha ujenzi wa vituo vya afya vya BAKWATA kila Wilaya mkoani Mwanza.
Uzinduzi wa harambee hiyo umefanikisha upatikanaji wa fedha taslimu na ahadi kiasi cha shilingi milioni 28.7 ambapo wadau wamehimizwa kuchangia kupitia Benki ya CRDB akaunti nambari 01 50 65 81 86 00 jina BAKWATA HARAMBEE ambapo kilele chake ni Julai 30, 2022.

About the author

Alex Sonna