Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA:MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI IBADA YA PASAKA JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor





Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiongozana na mkewe Mama Mbonimpaye Mpango leo tarehe 17 Aprili 2022 wameshiriki ibada ya Misa Takatifu ya Sikukuu ya Pasaka katika Kanisa katoliki Parokia ya  Maria Theresa Ledochowska iliopo kiwanja cha ndege mkoani Dodoma.

Ibada hiyo imeongozwa na Padri  Gilbert Magidale.

About the author

mzalendoeditor