Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

MANISPAA YA KAHAMA YARIDHISHWA NA MCHAKATO WA UFUNGAJI WA MGODI WA BARRICK BUZWAGI

Written by Alex Sonna
Meneja Uhusiano wa Jamii na Miradi wa Barrick Buzwagi, Stanley Joseph, akionyesha Maofisa kutoka manispaa ya Kahama sehemu za mgodi zilivyoboreshwa kwa ajili ya uwekezaji walipofanya ziara mgodini hapo

John Kibini Meneja wa Kiwanda cha EACS Akitoa Maelezo kwa Wataalam kutoka Manispaa ya kahama walipotembelea eneo la Mgodi wa Barrick Buzwagi uliopo katika mchakato wa kufungwa – EACS ni Miongoni mwa wawekezaji waliowekeza katika Buzwagi Special Economic Zone

Timu ya wataalamu wa idara mbalimbali kutoka manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wamefanya ziara ya kikazi katika mgodi wa dhahabu wa Barrick Buzwagi uliopo katika mchakato wa kufungwa na kupongeza hatua nzuri iliyofikia ikiwemo kutengwa sehemu ya uwekezaji la kongani ya Buzwagi (Buzwagi Special Economic Zone) ambayo itakuwa kitovu cha ukuzaji biashara katika mikoa ya kanda ya ziwa na nchi jirani.
Ujumbe huo wa wataalamu umefanya ziara ya kukagua utekelezaji wa mradi huu ambao unafuatia kufungwa kwa Mgodi na kuanza maandalizi ya uanzishwaji wa mradi mpya wa Buzwagi Special Economic Zone mradi unaotajwa kuja kutoa fursa zaidi kwa wawekezaji wa viwanda, wafanyabiashara na ofisi kubwa zaidi za kikanda na kimataifa jambo ambalo litawezesha utoaji wa huduma kwa Wilaya ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga, Mikoa jirani pamoja na Nchi za Burundi, Rwanda na maeneo mengine ukizingatia kuwa Kahama ni Lango la Kibiashara.
Akiongea baada ya kuhitimisha ziara hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama, Masudi Kibetu ambaye ameongoza ujumbe huo amesema wameridhishwa kwa jinsi mchakato wa kufunga mgodi huo unavyoendelea vizuri na ameipongeza Kampuni ya Barrick kwa kuendesha zoezi hilo kitaalamu huku ikizingatia usimamizi wa mazingira, hasa kuhusu maji na utunzaji wa uoto wa mimea.
“Eneo hili la Kongani ya Buzwagi na maeneo mengine yaliyotengwa kwa ajili ya kufanya uwekezaji ni moja ya fursa ambayo itafungua milango ya ukuaji biashara na kukuza uchumi wa mkoa wa Shinyanga,natoa wito kwa wawekezaji kuchangamkia fursa kwa ajili ya kujenga viwanda ambavyo vitawezesha wananchi wengi kupata ajira”, amesema Kibetu.
Akieleza jinsi utekelezaji wa Eneo hilo unavyoendelea Meneja Uhusiano wa Jamii na Miradi wa Buzwagi, Stanley Joseph, amesema kuwa tayari baadhi ya wawekezaji wameonyesha nia ya kuwekeza katika eneo hilo huku Baadhi yao tayari wakiwa wameshaanza uzalishaji na wengine wakiendelea na ujenzi wa Miundombinu.
Ameeleza kuwa kongani ya Buzwagi ikikamilika itakuwa kongani ya pili nchini mbali na Benjamin Mkapa Export Zone iliyopo Jijini Dar es Salaam hivyo itafanikisha kuleta fursa kubwa si kwa Wilaya ya kahama na Shinyanga pekee bali nchi nzima .
Chuo cha Barrick Buzwagi kilifunguliwa mwaka 2024 katika eneo hilo na kimefanya maendeleo makubwa katika kukuza vipaji vya Barrick.
Kikiwa kimejikita katika utoaji mafunzo kwa mafomeni, wasimamizi na warakibu, chuo hicho tayari kimetoa mafunzo kwa watu wapatao 1,700 na kinatarajiwa kuvuka lengo lake la kutoa mafunzo kwa zaidi ya watu 2,800 ifikapo mwishoni mwa mwaka 2025.

About the author

Alex Sonna