Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betpark

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

MSAADA WA TAASISI YA NVeP WAENDELEA KUNUFAISHA TAASISI ZA KIJAMII NCHINI

Written by Alex Sonna
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa (katikati) akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi Milioni 25 kwa mwakilishi wa shirika la Fageme Group (kushoto). Fedha hizo zimetolewa na Taasisi ya kimataifa ya Nos Vies en Partage (NVeP) kwa kushirikiana na kampuni ya Barrick
 

 

****
Taasisi ya kimataifa ya Nos Vies en Partage (NVeP), kwa kushirikiana na kampuni ya Barrick, imetoa msaada wa shilingi milioni 100 kwa mashirika manne yasiyo ya kiserikali kwa ajili ya kukabilianana changamoto mbalimbali.
 
Mashirika yaliyonufaika na msaada huo kila moja likiwa limepata shilingi milioni 25 ni Youth Wellbeing Initiative, Fageme Group,  Association for the Termination of Female Genital Matilation na Bulyanhulu Agriculture Group.
 
Msaada huo umetokana na sehemu ya fedha zilizotolewa na taasisi ya Nos Vies en Partage (NVeP), iliyoanzishwa na inayofadhiliwa na Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Barrick Gold Corporation, Mark Bristow, kwa ajili ya kusaidia makundi maalum kama vile Wanawake, watoto na makundi mengine yenye uhitaji yasiofaidika na ukuaji wa kiuchumi barani Afrika.
 
Kila robo ya mwaka taasisi ya NVeP, imeweza kutoa misaada yenye tija na manufaa ya moja kwa moja kwenye jamii mbalimbali zenye uhitaji barani Afrika na kufikia sasa zaidi ya mashirika 30 yasiyo ya Kiserikali na taasisi za kijamii nchini yamepatiwa msaada huo na tayari umeleta mabadiliko chanya katika jamii hususani katika sekta ya elimu, afya kwa Wanawake na watoto na utunzaji wa Mazingira.
 
Akiongea wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wakati wa ziara yake ya kikazi nchini, Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Barrick Gold Corporation, Mark Bristow, amesema kuwa taasisi ya ya NVeP, itaendelea kusaidia mashirika yasiyo ya kiserikali na taasisi ambazo zinatoa huduma kwa jamii kuendana na malengo ya taasisi hiyo sambamba na kuleta mabadiliko chanya katika jamii na kuwataka wanufaika kutumia fedha hizo kwa malengo yaliyokusudiwa
 
Akiongea kwa niaba ya wanufaika wenzake, Meneja wa shirika la na Association for the termination of Female Genital Matilation lenye makao yake wilayani Tarime mkoani Mara,Valerian Mgani, ameshukuru NveP kwa msaada huo na kueleza kuwa utasaidia kukabiliana na changamoto za kijamii kupitia taasisi hizo.
Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Barrick Gold Corporation, Mark Bristow (kulia) akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa shilingi milioni 100 kwa mashirika manne yasiyo ya kiserikali kwa ajili ya kukabilianana changamoto mbalimbali zilizotolewa na Taasisi ya kimataifa ya Nos Vies en Partage (NVeP), kwa kushirikiana na kampuni ya Barrick.
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa (katikati) akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi Milioni 25 kwa mwakilishi wa shirika la Youth Wellbeing Initiative (kushoto). Fedha hizo zimetolewa na Taasisi ya kimataifa ya Nos Vies en Partage (NVeP) kwa kushirikiana na kampuni ya Barrick

 

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa (katikati) akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi Milioni 25 kwa mwakilishi wa shirika la Youth Wellbeing Initiative (kushoto). Fedha hizo zimetolewa na Taasisi ya kimataifa ya Nos Vies en Partage (NVeP) kwa kushirikiana na kampuni ya Barrick

 

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa (katikati) akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi Milioni 25 kwa mwakilishi wa Association for the Termination of Female Genital Matilation(kushoto). Fedha hizo zimetolewa na Taasisi ya kimataifa ya Nos Vies en Partage (NVeP) kwa kushirikiana na kampuni ya Barrick
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa (katikati) akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi Milioni 25 kwa mwakilishi wa Association for the Termination of Female Genital Matilation(kushoto). Fedha hizo zimetolewa na Taasisi ya kimataifa ya Nos Vies en Partage (NVeP) kwa kushirikiana na kampuni ya Barrick
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa (katikati) akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi Milioni 25 kwa mwakilishi wa Bulyanhulu Agriculture Group (kushoto). Fedha hizo zimetolewa na Taasisi ya kimataifa ya Nos Vies en Partage (NVeP) kwa kushirikiana na kampuni ya Barrick
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa (katikati) akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi Milioni 25 kwa mwakilishi wa shirika la Fageme Group (kushoto). Fedha hizo zimetolewa na Taasisi ya kimataifa ya Nos Vies en Partage (NVeP) kwa kushirikiana na kampuni ya Barrick

About the author

Alex Sonna