Burudani Featured

EMPEROR T-JIGA AZIDI KUTAMBA NA KILODE

Written by mzalendoeditor
Msanii wa muziki wa nchini Ghana ambaye pia ni Mwandishi wa nyimbo, Mtayarishaji wa muziki, Mtumbuizaji na mshindi wa tuzo ambaye amefanikiwa kufanya kazi nyingi Emperor T- Giga ni moja kati ya wasanii ambaye kwa nafasi yake amefanikiwa sana kufikisha muziki wake mbali kutokana na ujumbe ambao msanii huyo amekuw akiutoa kwa jamii.
Licha ya kuachia kazi nyingi na pamoja na kuwa na mpango wa kuachia kazi nyingi zijazo T-Jiga ameendelea kufanya vyema na wimbo wake uitwao Kilode akiwa ameshirikiana na msanii maarufu ambaye anafahamika kwa jina la Cabarinny.
Emperor T- Jiga yuko mbioni kuendelea kuliteka soko la muziki katika kanda zote za Afrika na nje ya Afrika pia.
Kazi hii inapatikana katika vyanzo vyote vya kupakua na kutunza muziki ulimwenguni.
Tazama HAPA chini

About the author

mzalendoeditor