Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

jojobet

matbet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

starzbet

jojobet

Featured Kitaifa

MRADI WA MAFUTA GHAFI EACOP WAFIKIA ASILIMIA 45.5

Written by Alex Sonna
Mratibu wa Mradi wa EACOP kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Asiadi Mrutu akielezea maendeleo ya ujenzi wa mradi huo
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi Afrika Mashariki (EACOP), unaounganisha Hoima nchini Uganda na Chongoleani, Tanga, umefikia asilimia 45.5 katika hatua ya ujenzi ambapo shughuli za ujenzi zinaendelea katika maeneo mbalimbali kuanzia Mtukula Kagera mpaka Chongoleani Tanga.
Taarifa hii imetolewa leo, Oktoba 18, 2024, na Mratibu wa Mradi wa EACOP kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Asiadi Mrutu, wakati Wajumbe wa Tume ya Kitaifa ya Mipango
ikiwa imeambatana na  Bodi ya TPDC na Menejimenti ya TPDC ilipotembelea eneo la ujenzi wa Kiwanda cha kuweka mifumo ya kupasha na kutunza joto kwenye mabomba katika Kijiji cha Sojo, wilayani Nzega, mkoani Tabora.
Mrutu amesema kufuatia jitihada za Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, utekelezaji wa mradi huu kwa ujumla umefikia asilimia 45.5 ambapo shughuli za ujenzi zinaendelea katika maeneo mbalimbali kuanzia Mtukula Kagera mpaka Chongoleani Tanga na kwamba mpaka kufikia Oktoba 2024 Serikali kupitia TPDC imechangia mtaji wa takribani Shilingi Bilioni 977.6 kwenda kwenye Kampuni ya Mradi EACOP.
“Kiwanda hiki kinaendelea na uzalishaji wa mabomba ambapo mpaka sasa jumla ya mabomba yenye urefu wa kilomita 70.7 yamewekwa mifumo ya kupasha na kutunza joto. Ujenzi wa bomba na miundombinu yake unaendelea”,amesema.
 
Mpaka sasa mradi umeleta mafanikio makubwa ikiwemo fursa za ajira 7,584, manunuzi ya huduma na bidhaa za ndani ya nchi zenye thamani ya takribani Shilingi Bilioni 833.7, mapato kwa Serikali takribani Shilingi Bilioni 40, uhaulishaji wa teknolojia toka kwa wakandarasi”,ameeleza Mrutu.
Asiadi Mrutu 
Amefafanua kuwa Ujenzi wa Kiwanda cha kuweka mifumo ya kupasha na kutunza joto kwenye mabomba uliopo Kijiji cha Sojo Wilaya ya Nzega Mkoa wa Tabora umefikia asilimia 96 na ulizinduliwa rasmi na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko mnamo Machi 26, 2024. Kwa ujumla, mradi mzima wa EACOP umefikia asilimia 45.5.
“Pamoja na kuwa mwanahisa, TPDC inamiliki ardhi ya mkuza wa bomba na maeneo ya ujenzi wa makambi ambapo mpaka sasa tumefanikiwa kulipa fidia jumla ya Shilingi Bilioni 35.1 kwa wananchi 9,858 kati ya 9,927 sawa na 99.3%. Vilevile mradi umefanikiwa kujenga nyumba 340 za makazi mbadala kwa wananchi 294 waliopoteza makazi kwenye maeneo ya mradi. Serikali inaendelea kushirikiana na Wanahisa wengine ili kuhakikisha fedha za mradi zinapatikana kwa wakati na utekelezaji unaendelea ili kufikia malengo. Ujenzi unatarajia kukamilika katikati mwa mwaka 2026”,ameongeza Mrutu.
Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Kitaifa ya Mipango, Dk. Linda Ezekiel, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Ufundi na Madeni, ameeleza furaha yake kuhusu uwekezaji huu mkubwa, ukionyesha fursa kwa Watanzania.
Ameongeza kuwa, ziara hiyo ililenga kuona utekelezaji wa mradi kwa karibu na wamefurahishwa na kasi ya ujenzi, wakitarajia mradi kukamilika mwaka 2026 na kuanza kusafirisha mafuta kutoka Uganda hadi Tanga nchini Tanzania.
Dkt. Linda Ezekiel
Dk. Linda amesisitiza umuhimu wa ushirikishwaji wa jamii katika mradi huu na kusema, “Nimefurahia kuona Watanzania wengi wameajiriwa na mradi huu unasimamiwa na wazawa.”
Mjumbe wa Bodi ya TPDC, Balozi Mstaafu Dkt. Peter Kallaghe, ameonyesha kuridhika na kasi ya ujenzi wa kiwanda cha Sojo, akisisitiza umuhimu wa mradi wa EACOP unaosimamiwa na Watanzania.
Balozi Mstaafu Dkt. Peter Kallaghe.
Amesema Bodi ya TPDC pamoja na Menejimenti itaendelea kusimamia utekelezaji wa mradi ikiwemo kuhakikisha mradi unakua wenye manufaa kwa Wananchi na jamii zilizopo karibu na maeneo ya ujenzi.
Wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Usimamizi wa Madeni, Bodi na Menejimenti ya TPDC imetembelea Kiwanda hicho ili kuhakikisha utekelezaji wa maelekezo ya Mhe. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko kuhakikisha Kiwanda kinaanza uzalishaji mabomba na kinakuwa chenye manufaa kwa Watanzania.
Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Kusafirisha Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Kabaale (Uganda) hadi Bandari ya Tanga wenye urefu urefu wa kilomita 1,443 unatekelezwa na wawekezaji binafsi (Private Investors) kwa kushirikiana na Serikali za Tanzania na Uganda.
Wawekezaji katika Kampuni ya EACOP ni Kampuni ya TotalEnergies kutoka Ufaransa, CNOOC ya nchini China, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya Kitaifa ya Mafuta ya Uganda (UNOC).
Mratibu wa Mradi wa EACOP kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Asiadi Mrutu akielezea maendeleo ya ujenzi wa mradi huo – Picha na Kadama Malunde
Mratibu wa Mradi wa EACOP kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Asiadi Mrutu akielezea maendeleo ya ujenzi wa mradi huo
Mratibu wa Mradi wa EACOP kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Asiadi Mrutu akielezea maendeleo ya ujenzi wa mradi huo
Mratibu wa Mradi wa EACOP kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Asiadi Mrutu akielezea maendeleo ya ujenzi wa mradi huo

Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Kitaifa ya Mipango, Dk. Linda Ezekiel, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Ufundi na Madeni akizungumza wakati wa ziara hiyo

Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Kitaifa ya Mipango, Dk. Linda Ezekiel, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Ufundi na Madeni akizungumza wakati wa ziara hiyo
Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Kitaifa ya Mipango, Dk. Linda Ezekiel, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Ufundi na Madeni akizungumza wakati wa ziara hiyo
Mjumbe wa Bodi ya TPDC, Balozi Mstaafu Dkt. Peter Kallaghe akizungumza wakati wa ziara hiyo
Mjumbe wa Bodi ya TPDC, Balozi Mstaafu Dkt. Peter Kallaghe akizungumza wakati wa ziara hiyo

About the author

Alex Sonna