MzalendoBlog
  • Habari
    • Kitaifa
    • Kimataifa
  • Michezo
  • Burudani
  • Makala
Mzalendo
  • Habari
    • Kitaifa
    • Kimataifa
  • Michezo
  • Burudani
  • Makala

Home » MAN CITY YAICHAPA ATLETICO MADRID LIGI YA MABINGWA ULAYA

Featured • Michezo

MAN CITY YAICHAPA ATLETICO MADRID LIGI YA MABINGWA ULAYA

3 years ago
by mzalendoeditor
19 Views
Written by mzalendoeditor

Manchester City imeanza vyema kampeni ya kutafuta ubingwa baada ya kuichapa bao 1-0 ya Atletico Madrid katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Etihad Jijini Manchester.

Shujaa wa Man City ni kiungo mshambuliajiΒ  Kevin De Bruyne dakika ya 70 aliifungia bao muhimu Manchester City.

    FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn
LIVERPOOL YAIZAMISHA BENFICA UGENINI LIGI YA MABINGWA ULAYA
NAIBU WAZIRI RIDHIWANI AWAONYA WENYEVITI MABARAZA YA ARDHI

You may also like

Featured • Kitaifa

AMREF HEALTH AFRICA YAKABIDHI VITENDEA KAZI KWA...

Featured • Kitaifa

DKT. OMAR AZINDUA MAFUNZO YA UBAINISHAJI NA UPIMAJI WA...

Featured • Kitaifa

π—ͺπ—œπ—­π—”π—₯𝗔 𝗬𝗔 π—˜π—Ÿπ—œπ— π—¨ π—¬π—”π—§π—˜π—§π—” 𝗑𝗔 π—¨π—’π—‘π—šπ—’π—­π—œ 𝗠𝗣𝗬𝗔 π—§π—”π— π—’π—‘π—šπ—¦π—–π—’

Featured • Kitaifa

DKT.MADELE AREJESHA FOMU YA UBUNGE DODOMA MJINI

Featured • Kitaifa

HUDUMA ZA AFYA ZABORESHA MAISHA KAGERA,SHULE NA UMEME...

Featured • Magazeti

PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JULAI...

About the author

mzalendoeditor

View all posts

Copyright © 2025. Mzalendo Blog - Design by Yatosha Web Services.

  • Habari
  • Michezo
  • Burudani
  • Makala