Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) wakiongozwa na Mwenyekiti wao, Mhe. Adam Kimbisa walipomtembelea leo Aprili 5, 2022 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (watano kushoto) katika picha ya pamoja na Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) wakiongozwa na Mwenyekiti wao, Mhe. Adam Kimbisa (kushoto kwake) walipomtembelea leo Aprili 5, 2022 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)