Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

JAFO AITAKA TBS KUONGEZA NGUVU UTOAJI HUDUMA KWA WAFANYABIASHARA

Written by mzalendo

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza na watumishi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wakati alipofanya ziara katika ofisi za TBS Ubungo leo Julai 11, 2024 Jijini Dar es Salaam

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza na watumishi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wakati alipofanya ziara katika ofisi za TBS Ubungo leo Julai 11, 2024 Jijini Dar es Salaam

 

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza na watumishi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wakati alipofanya ziara katika ofisi za TBS Ubungo leo Julai 11, 2024 Jijini Dar es Salaam

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza na watumishi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wakati alipofanya ziara katika ofisi za TBS Ubungo leo Julai 11, 2024 Jijini Dar es Salaam


Mkurugenzi Mkuu wa TBS, Dkt. Ashura Katunzi akifanya presentation mbele ya Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo mara baada ya Waziri kufanya ziara katika ofisi za TBS Ubungo leo Julai 11, 2024 Jijini Dar es Salaam

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo akielezewa na maafisa wa TBS jinsi shughuli za upimaji wa bidhaa za chakula zinavyofanyika katika maabara za TBS wakati wa ziara ya kutembelea TBS leo Julai 11, 2024 Jijini Dar es Salaam


Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo akielezewa na maafisa wa TBS jinsi shughuli za upimaji wa bidhaa za chakula zinavyofanyika katika maabara za TBS wakati wa ziara ya kutembelea TBS leo Julai 11, 2024 Jijini Dar es Salaam

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiwa na viongozi mbalimbali wa Wizara pamoja na TBS wakipata picha ya pamoja na watumishi wa TBS pamoja na wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakati alipofanya ziara ya kutembelea ofisi za TBS Ubungo leo Julai 11, 2024 Jijini Dar es Salaam

……..
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo amelipongeza Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa utendaji mzuri na kulitaka kuongeza nguvu katika utoaji wa huduma kwa wafanyabiashara hususani upatikanaji wa nembo ya ubora wa bidhaa ili kukuza biashara, kuongeza ajira, Pato la Taifa na uchumi kwa ujumla.
Ameyasema hayo Julai 11, 2024, Ubungo jijini Dar es Salaam alipotembelea TBS kwa lengo la kujenga uelewa wa pamoja kuhusu shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na Shirika hilo ili kuongeza tija na ufanisi katika utendaji kazi wa Shirika hilo katika kuwahusumia wafanyabiashara.
Aidha, ametoa wito kwa Watumishi wa Shirika hilo kuendelea kufanya kazi kwa bidii, weledi na ushirikiano  baina yao pamoja na kuepuka kuwa kikwazo katika utoaji huduma kwa wafanyabiashara ili kuiwezesha sekta binafsi kukua kwa kasi na kutimiza malengo ya Serikali ya Awamu ya Sita katika kujenga uchumi shindani wa viwanda.
“Lengo la Wizara ya Viwanda na Biashara ni kuweka mazingira bora na wezeshi kwa wafanyabiashara ili waweze kufanya biashara zao kikamilifu, kuongeza ajira na kukuza Pato la Taifa kupitia Taasisi zake 13 ambazo tutaanza kuzipima kulingana na utendaji kazi wake”. Amesema Dkt. Jafo.
Dkt. Jafo pia ameielekeza TBS kushirikiana na Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) pamoja na taasisi nyingine katika kuhakikisha Wajasiriamali wengi wanapata nembo ya ubora na kufuatilia biashara hizo ili kuhakikisha kiwango cha ubora wa bidhaa hizo haushuki kwa ajili ya kuwalinda walaji. 
Akitoa mfano wa kuweka virutubisho kwenye vyakula kama unga wa mahindi, ngano na mafuta ya kula, Dkt Jafo amesema TBS inajukumu kubwa la kuhakikisha kuwa Viwanda vinavyozalisha bidhaa hizo zinazostahili kuwekewa virutubisho wanaweka virutubisho hivyo kwa usahihi ili kuwalinda wananchi kuwa na afya njema na kuwaepusha kupata udumavu ambao unaweza kuwa na madhara makubwa katika ujenzi wa uchumi imara.
“Ni muhimu sana kuwalinda wananchi  kwa kupata bidhaa zenye ubora na viwango vinavyotakiwa kulingana na gharama ya bidhaa hizo. Amesema Dkt. Jafo.
Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa TBS, Dkt. Ashura Katunzi amesema Shirika la viwango litaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali ili kuhakikisha bidhaa zinazouzwa nchini zinakidhi matakwa ya Viwango .

About the author

mzalendo