Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betpark

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

Featured Kitaifa

KLINIKI YA USHAURI NA ELIMU YA KISHERIA KWA UMMA YAZINDULIWA JIJINI DODOMA

Written by Alex Sonna

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG) Jaji Dk. Eliezer Feleshi,akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa kliniki ya ushauri na elimu ya kisheria kwa umma inayokusudia kusogeza huduma za sheria karibu na wananchi iliyozinduliwa leo Juni 26,2024  katika Viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma.

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG) Jaji Dk. Eliezer Feleshi,akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa kliniki ya ushauri na elimu ya kisheria kwa umma inayokusudia kusogeza huduma za sheria karibu na wananchi iliyozinduliwa leo Juni 26,2024  katika Viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma.

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG) Jaji Dk. Eliezer Feleshi,akisisitiza jambo kwa  wananchi (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa kliniki ya ushauri na elimu ya kisheria kwa umma inayokusudia kusogeza huduma za sheria karibu na wananchi iliyozinduliwa leo Juni 26,2024  katika Viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma.

KATIBU Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Bi. Mary  Makondo,akizungumza wakati wa uzinduzi wa kliniki ya ushauri na elimu ya kisheria kwa umma inayokusudia kusogeza huduma za sheria karibu na wananchi iliyozinduliwa leo Juni 26,2024  katika Viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma.

MWANDISHI  Mkuu wa Sheria Bw. Onorius Njole,akizungumza wakati wa uzinduzi wa kliniki ya ushauri na elimu ya kisheria kwa umma inayokusudia kusogeza huduma za sheria karibu na wananchi iliyozinduliwa leo Juni 26,2024  katika Viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma.

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG) Jaji Dk. Eliezer Feleshi,akimsikiliza Mwananchi mara baada ya kuzindua  kliniki ya ushauri na elimu ya kisheria kwa umma inayokusudia kusogeza huduma za sheria karibu na wananchi iliyozinduliwa leo Juni 26,2024  katika Viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma.

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG) Jaji Dk. Eliezer Feleshi,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzindua  kliniki ya ushauri na elimu ya kisheria kwa umma inayokusudia kusogeza huduma za sheria karibu na wananchi iliyozinduliwa leo Juni 26,2024  katika Viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG) Jaji Dk. Eliezer Feleshi amezindua kliniki ya ushauri  na elimu ya kisheria kwa umma inayokusudia kusogeza huduma za sheria karibu na wananchi ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan.

Akizindua kliniki hiyo leo Juni 26,2024  jijini Dodoma, Jaji Dk. Feleshi amesema  pamoja na kufikisha huduma za sheria karibu na wananchi pia itasaidia kufikia malengo ya kupunguza migogoro dhidi ya serikali.

“Kwani wananchi wakisikilizwa na kupata suluhu ya changamoto zao za kisheria dhidi ya serikali hawatakuwa na haja ya kuishitaki serikali katika vyombo mbalimbali vya utatuzi wa migogoro nje ya na ndani ya nchi”amesema Jaji Feleshi

Aidha, ameeleza lengo la kliniki hiyo ni kutekeleza maagizo ya Rais Samia, ambayo amekuwa akiyatoa mara kwa mara kwa viongozi wa serikali kuweka utaratibu wa kusikiliza malalamiko ya wanachi na kuyatatua.

“Ikiwa ni pamoja na kuwaongoza katika taratibu za kupata haki zao pale zinapovunjwa au zinapoonekana kuelekea kuvunjwa na kudumisha utawala bora kwa kuimarisha utawala wa sheria nchini”amesema 

Hata hivyo amesema kuwa  kusogeza huduma za sheria karibu na wananchi kutasaidia kuongeza utengamano na utulivu katika jamii na kuchochea maendeleo kwa jamii na taifa kwa ujumla.

Pia ametoa rai kwa mawakili wote wa serikali kutenga muda na kuwasiliza wananchi katika maeneo yao kupitia kamati za ushauri wa kisheria ngazi za mikoa na wilaya zilizozinduliwa na Waziri Mkuu Kassim Mjaliwa.

Kwa upande wake Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Bi. Mary  Makondo,amesema kuwa lengo ni kuwasaidia wananchi ambao sisi sote tumepewa dhamana Mhe. Rais ili tuweze kuwahudumia ambapo hilo tunaliona kwa matendo wananchi wanaendelea kutatuliwa kero zao lakini pia kupata ushirikiano kutoka kwa wadau wote.

“Wizara ya Maendeleo ya Jamii,  Wizara ya Mambo ya Ndani tunawaona hapa kupitia dawati wananchi wameendelea kupata utatuzi wa haraka na maalum wa kero zao lakini kero nyingine tumeona ni za ndani watumishi ambao ni wastaafu tumeona wanapata changamoto lakini wengine bado wako kwenye ajira wanapata changamoto kwahiyo sisi tuko hapa kuweza kuwasaidia”, amesema Makondo

Naye, Makamu wa rais wa chama cha Mawakili wa serikali Tanzania Bi.Ellen Rwijage,ametoa wito kwa watanzania wote wenye kero zinazohusu masuala ya sheria kujitokeza kupata huduma hiyo bure.

“Mawakili wa serikali wamejipanga kutoa huduma kwa muda wa wiki moja ambao utatumika kusikiliza na kutoa elimu na ushauri wa kisheria.”amesema Rwijage

About the author

Alex Sonna