Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betpark

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

Featured Kitaifa

MAFANIKIO YA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA WIZARA KWA MWAKA 2023/24

Written by mzalendo
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye, akizungumza Bungeni jijini Dodoma, wakati akiwasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2024/ 2025.
Na Mwandishi wetu, WHMTH 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye amesema baada ya Serikali kuipatia fedha zote za miradi ya Maendeleo zilizoombwa, Wizara imefanikiwa kutekeleza mipango yote iliyopangwa kutekelezwa katika kipindi cha Julai 2023 hadi Aprili 2024.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye, amebainisha hayo tarehe 16 Mei, 2024 Bungeni jijini Dodoma, wakati akiwasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2024/ 2025. 
Waziri Nape ametaja mafanikio hayo ni pamoja na kuanzisha Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, iliyozinduliwa 3 Aprili, 2024 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Amesema, sekta hiyo imefanikiwa pia kukamilisha kuhamishia Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), shughuli zote za ujenzi na uendeshaji wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano na Kituo cha Kuhifadhi Data (NIDC).
“Tumefanikiwa kufanya tathmini ya hali ya Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya TEHAMA ya Mwaka 2016, na Sera ya Taifa ya Mawasiliano ya Simu ya mwaka 1997, kuandaa Rasimu ya Sera Mpya ya Taifa ya TEHAMA ya 2024, itakayojumuisha, pamoja na mambo mengine, masuala ya Kampuni changa za TEHAMA (Startups),” amesema Waziri Nape. 
Amesema, wizara imekamilisha ujenzi wa Kilomita 3,008 na vituo 66 vya Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano, kukamilisha Ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU) jijini Arusha, lililozinduliwa rasmi tarehe 2 Septemba, 2023 na Rais Samia.
Waziri Nape ametaja mafanikio mengine kuwa ni kukamilisha ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) jijini Dodoma, lililozinduliwa rasmi Aprili 25, 2024 na Dkt. Philip Isdor Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Amesema, sekta pia imefanikiwa kukamilisha ujenzi wa miradi ya upanuzi wa usikivu wa redio za TBC katika maeneo 7 ya Serengeti-Mara, Bariadi-Simiyu, Ileje-Songwe, Njombe, Kilwa-Lindi, Unguja na Pemba, kukamilika, kuridhiwa na kuanza kutumika kwa Mkakati wa Uchumi wa Kidijitali 2024-2034 na miongozo sita ya Usimamizi wa Sekta ya TEHAMA.
“Sekta imefanikiwa kukamilisha majadiliano kati ya Serikali na Umoja wa Watoa Huduma za Mawasiliano (Consortium) kulikowezesha Serikali kulipwa Dola za Marekani milioni 33, kusainiwa kwa mikataba ya mauzo ya Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano na nchi za Uganda wenye thamani ya Dola za Marekani milioni 28.8, Malawi wenye thamani ya Dola za Marekani milioni 5.5, na Kampuni ya Airtel wenye thamani ya Dola za Marekani milioni 4.8,” amesema. 
Amesema, pia sekta imefanikiwa kuunda Kamati ya Kitaifa ya Usimamizi wa Setelaiti nchini kwa ajili ya kuratibu, kusimamia na kuendeleza shughuli za anga za juu nchini, kuanza ujenzi wa Makao Makuu ya TBC katika eneo la Vikonje jijini Dodoma, uliofikia asilimia 18, hadi Aprili, 2024, na kuanza ujenzi wa kiwanda kwa ajili ya kufunga mitambo mipya ya kisasa ya uchapaji, uliofikia asilimia 35.

About the author

mzalendo