Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

meritbet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

TARURA DODOMA YAPUNGUZA BARABARA ZENYE HALI MBAYA KWA ASILIMIA 60

Written by mzalendo

Muonekano wa barabara ya Nzuguni Investment ambapo ujenzi wake unaendelea na kukamilika kwake utaongeza uwekezaji na mandhari nzuri kwa jiji la Dodoma.

Meneja wa TARURA Mkoa wa Dodoma Mhandisi Edward Lemelo akielezea namna mkoa wa Dodoma ulivyojiwekea lengo la kufikia asilimia 85 ya barabara zenye hali nzuri ifikapo mwaka 2025/2026.Kushoto ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano TARURA Bi. Catherine Sungura.

Mafundi wakiendelea na ujenzi wa barabara ya Nzuguni Investment iliyoko jijini Dodoma.

Na Mwandishi Wetu, Dodoma.

Miundombinu ya usafirishaji inazidi kuimarika ndani ya Mkoa wa Dodoma ambapo umeweza kupunguza wastani wa asilimia 60 za barabara zilizokuwa na hali mbaya mwaka 2020/2021 hadi kufikia asilimia 31 mwaka 2023/2024.

Hayo yameelezwa na Meneja wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Dodoma Mhandisi Edward Lemelo wakati wa mahojiano maalum na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano TARURA Bi. Catherine Sungura yaliyofanyika ofisini kwake jijini Dodoma.

Mhandisi Lemelo alisema kwamba TARURA Mkoa wa Dodoma imeweka lengo la kufikia asilimia 85 ya barabara zenye hali nzuri ifikapo mwaka 2025/2026.

“Tumefanikiwa kuongeza barabara zenye hali nzuri kutoka asilimia 10 mwaka 2020/2021 hadi kufikia asilimia 34.7 mwaka 2023/2024, barabara zenye hali mbaya zimepungua kutoka asilimia 60 mwaka 2020/2021 hadi kufikia asilimia 31 Mwaka 2023/2024 ”.Alisema Mhandisi Lemelo.

Alisema mafanikio hayo yametokana na kuongezeka kwa bajeti ya kihistoria ya matengenezo na ukarabati wa barabara na madaraja kwa Mkoa wa Dodoma ambayo imeongezeka kutoka Shilingi Bilioni 12.7 mwaka 2021 hadi kufikia Shilingi Bilioni 34.2 mwaka 2023/2024.

“Tunamshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwani tangu aingie madarakani tumekuwa na ongezeko la kihistoria la bajeti kwa Mkoa wetu wa Dodoma kwa ajili ya ujenzi, matengenezo na ukarabati wa barabara na madaraja na kuendelea kufungua barabara mpya ambazo zimewezesha kufika maeneo ambayo awali hayakuweza kufikika”.

Aidha, Mhandisi Lemelo ametaja mafanikio mengine ni kuongezeka kwa mtandao wa barabara za lami zinazohudumiwa na TARURA kutoka Km. 171.29 mwaka 2020/2021 hadi Km. 309.71 mwaka 2023/2024 ikiwa ni ongezeko la asilimia 80.81.

Amesema pia kuna ongezeko la barabara za changarawe kutoka Km. 1258.65 hadi Km. 1827.5 pamoja na ufunguzi wa barabara mpya jumla ya Km. 544.60 ambazo zimefunguliwa kwa maana hazikuwepo kabisa.

“Kufunguliwa kwa barabara hizi mpya imeakisi kauli mbiu yetu ya ‘Tunakufungulia barabara kufika kusiko fikika’, miundombinu hii imewezesha wananchi kufika maeneo mbalimbali ya shughuli zao za kijamii na kiuchumi bila kikwazo chochote tofauti na ilivyokuwa awali”.

Kwa upande wa ujenzi wa madaraja, makalavati, mifereji ya maji ya mvua na taa za barabarani, Mhandisi huyo alisema jumla ya madaraja 19, maboksi kalavati 45, mifereji ya maji ya mvua yenye urefu wa mita 73,822.24 imejengwa katika maeneo mbalimbali na jumla ya taa za barabarani 470 zimewekwa katika barabara mbalimbali za Mkoa wa Dodoma.

“TARURA Dodoma tunamshukuru Rais Samia kwa namna anavyoilea TARURA kwa kuongeza Bajeti ya matengenezo na ukarabati wa barabara inayowezesha kutekelezwa kwa miradi mikubwa ya ujenzi wa madaraja, barabara za lami, kuongeza barabara za changarawe na kuendelea kufungua barabara mpya katika Mkoa wa Dodoma”.

Pamoja na hayo, Mhandisi Lemelo amewasihi wananchi kujenga utamaduni wa kutunza miundombinu ya barabara kwa hususan kusafisha mitaro na kuepuka kutupa uchafu ama kufanya mitaro kuwa jalala ili kuepuka mafuriko na magonjwa ya kuambukiza. 

Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Dodoma unahudumia mtandao wa barabara wenye jumla ya urefu wa Km 7,540.9.

Naye, mmoja wa dereva wa bajaji ambaye kituo chake kipo NHIF Bw. Kabila Msigara alisema sasa hivi kumekuwa na miundombinu rafiki tofauti na zamani kwani hapo awali wateja wao walikuwa wakipata shida kupanda bajaji kutokana na tatizo la kiafya pia kuna vifaa vya bajaji zilikua zinaharibika mara kwa mara kutokana na barabara mbaya ila kwa sasa mambo yamekuwa murua na wanaishukuru Serikali.

Wakati huo huo Mkazi wa Chinyoa Bi. Asnaa Marijani alisema wanamshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwajengea barabara hiyo ambapo awali bodaboda hazikuwa zinafikika katika maeneo yao kwa sababu zilikua zikikwama kutokana na ubovu wa barabara na hivyo kuwaongezea gharama za usafiri.

About the author

mzalendo