Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amewalisi uwanja wa ndege wa Songwe Jijini Mbeya kwa lengo la kumwakilisha Mheshimiwa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Kongamano la Nne la Idhaa za Kiswahili Duniani 2024 katika Hoteli ya Eden Highlands Jijini Mbeya tarehe 18 Machi, 2024. Kaulimbiu ya Kongamano hilo ni; “Tasnia ya Habari ni Fursa za Ubidhaishaji Kiswahili Duniani”