Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AZURU KABURI LA HAYATI BABA WA TAIFA

Written by mzalendo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka shada la maua kwenye kaburi la hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mwitongo, Butiama mkoani Mara Februari 27, 2024

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka akiwasha mshumaa kwenye kaburi la hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mwitongo, Butiama mkoani Mara Februari 27, 2024

About the author

mzalendo