Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Uncategorized

WAZIRI MCHENGERWA:’TUYATEKELEZE MAELEKEZO YA RAIS SAMIA KWA KASI NA WELEDI’

Written by Alex Sonna

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Mohamed Mchengerwa akifungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi Machi 21, 2022 jijini Dodoma ambapo amesema wizara hiyo imedhamiria kutekeleza kwa ufanisi maagizo na maelekezo ya Serikali katika mwaka wa fedha 2022/2023 ili kuwahudumia wananchi katika sekta za Utamaduni, Sanaa na Michezo ziweze kuleta matokeo makubwa kwa ustawi wa taifa.

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul akimkaribisha Waiziri wa Wizara hiyo Machi 21, 2022 jijini Dodoma kufungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi la mwaka 2022 ambapo wizara imedhamiria kuyatekeleza kwa ufanisi maagizo na maelekezo ya Serikali katika mwaka wa fedha 2022/2023 ili kuwahudumia wananchi katika sekta za Utamaduni, Sanaa na Michezo ziweze kuleta matokeo makubwa kwa ustawi wa taifa.

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi akiwatambulisha wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa wizara hiyo wakati wa kufungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi Machi 21, 2022 jijini Dodoma.

Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo wakifuatilia ufunguzi rasmi wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Wizara hiyo Machi 21, 2022 jijini Dodoma.

……………………………………………………….

Na Eleuteri Mangi-WUSM, Dodoma

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Wizara yake imejipanga  kutekeleza maelekezo 16 ya kisekta kwa kasi na weledi katika mwaka wa fedha 2022/2023  ili kuwahudumia wananchi.

Waziri Mchengerwa ametoa kauli hiyo Machi 21 Jijini Dodoma wakati akiwa mgeni rasmi kwenye kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo kwa  mwaka 2022 ambapo wizara imedhamiria kuyatekeleza kwa ufanisi kwa kuwa zaidi ya asilimia 80 ya watanzania wanaitegemea wizara hii kwa namna moja au nyingine.

Mhe. Mchengerwa amesema maelekezo hayo yametolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango pamoja na Waziri Mkuu Mhe. Kassimu Majaliwa ambayo lengo lake ni kuwahudumia Watanzania.

“Kila mmoja awajibike kwenye eneo lake, tukijifungia  ofisini hatutafikia malengo na matarajio ya Serikali, twende kuwahudumia wananchi, tuwafikie na kuwapa faida ya Serikali yao”. amesisitiza Mhe. Mchengerwa.

Miongoni mwa maelekezo ya viongozi hao ni kuhakikisha matamasha ya Utamaduni nchi nzima yanafanyika  katika ngazi za wilaya hadi mtaa na washindi kupewa zawadi, kuimarisha usimamizi wa masuala ya haki  miliki ili wasanii waweze kunufaika na kazi zao, kuanzisha na kuwezesha shule 56 za Tanzania Bara kuwa maeneo ya academia za michezo, kukamilisha mapitio ya Sera zinazohusu sekta za wizara, kutangaza nchi kupitia michezo na utalii, kukuza na kuendeleza sekta za Utamaduni, Sanaa na Michezo ili iendelee kutengeneza fursa za ajira na kuimarisha usimamizi wake.

Pia amesema wizara imeelekezwa kujenga miundombinu ya kisasa ya michezo ikiwemo ujenzi wa uwanja wa soka wa Dodoma ambao unatarajiwa kuchukua mashabiki 100,000, kujenga kituo maalum cha kulea vipaji vya michezokatika Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya, kujenga viwanja vitatu vya kisasa vya mazoezi na kupumzikia wananchi katika mikoa ya Dar es Salaa, Dodoma na Geita, kujenga kumbi kubwa kwa ajili ya michezo na maonesho ya Sanaa utakaokuwa na uwezo wa kuchukua watu 15,000 katika mikoa ya Dar es salaam na Dodoma na kugharamia maandalizi.

Maelekezo mengine ni pamoja na kugharimia maandalizi na ushiriki wa Timu za Taifa za wanawake huku akitolea mfano timu ya Serengeti Girls ambao wameendelea kufanya vizuri kuelekea kufuzu michuano ya kombe la dunia kwa kuifunga timu ya Botswana kwa goli 4-0.

Kwa upande mwingine Mhe. Mchengerwa amesema wizara yake imepewa jukumu la kutekeleza mkakati wa kubidhaisha lugha adhimu ya Taifa Kiswahili ikiwemo kuanzisha madawati ya Kiswahili katika Balozi zinazowakilisha taifa katika nchi mbalimbali duniani, kuadhimisha Siku ya Kiswahili Duniani Julai 7 kila mwaka ambayo imeridhiwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) pamoja na kuanzisha mashindano ya michezo ya mtaa kwa mtaa yenye lengo la kuibua na kuendeleza vipaji vya wanamichezo na wasanii.

Naye Mwenyekiti za Baraza hilo ambaye pia ni Katibu Mkuu wizara hiyo Dkt. Hassan Abbasi amewasisitiza wajumbe wa Baraza hilo kuwa na ushirikiano kati ya watumishi na viongozi wao ili kufikia dhamira ya Rais Mhe. Samia Suluhu Hassani katika kuwahudumia wanachi katika sekta za wizara hiyo.

Aidha, Dkt. Abbasi amesema ili kutekeleza majukumu, maagizo na maekelezo ya viongozi wajumbe wa Baraza na watumishi wanatakiwa kutunza siri za ofisi kwa kufuata Sheria, Kanuni, taratibu na miongozo ya Serikali inayotolewa na viongozi.

Katika tukio hilo, Mhe. Mchengerwa alizindua Mkataba wa kuunda Baraza la Wafanyakazi kati ya Wizara na Chama Cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE)

About the author

Alex Sonna