Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA SPIKA MSTAAFU ANNE MAKINDA

Written by mzalendo

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi. Anne Makinda mazungumzo yaliyofanyika Jijini Dodoma tarehe 05 Februari 2024.

About the author

mzalendo