Featured Kitaifa

RAIS DKT.MWINYI ATETA NA KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE TANZANIA IKULU ZANZIBAR

Written by mzalendo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyeiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika  Mashariki  Mhe. Balozi  Stephen  Mbundi  alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyia katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 13-1-2024  na (kulia kwake) Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Said Shaib Mussa.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akizungumza na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe Balozi Stephen Mbundi na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Said Shaib Mussa, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Balozi Stephen Mbundi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu katika ukumbi wa Ikulu  Jijini Zanzibar leo 13-1-2024.(Picha na Ikulu

About the author

mzalendo