Featured Kitaifa

MWENYEKITI WA CCM DKT. SAMIA AFUNGUA MAFUNZO YA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA – ZANZIBAR

Written by mzalendo

 

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Mafunzo ya Siku Mbili Kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, Mapema Leo Tarehe 13 Januari 2024 Zanzibar.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akijadiliana jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati alipofungua Mafunzo ya Siku Mbili Kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, Mapema Leo Tarehe 13 Januari 2024 Zanzibar.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wakati wa Mafunzo ya Siku Mbili Kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, Mapema Leo Tarehe 13 Januari 2024 Zanzibar.

Picha mbalimbali zikiwaonesha wajumbe mbalimbali wa mutant huo wakiwa katika ufunguzi mjini Zanzibar

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua Mafunzo ya Siku Mbili Kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, Mapema Leo Tarehe 13 Januari 2024 Zanzibar.

Mafunzo Hayo Yanafanyika Kwa Lengo la Kuendelea Kuwajengea Uwezo Wajumbe pamoja Kuimarisha Chama cha Mapinduzi.

About the author

mzalendo