Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

jojobet

matbet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

starzbet

jojobet

Kitaifa

WAZIRI MAVUNDE AAINISHA MAMBO MUHIMU KUFIKIA MALENGO

Written by mzalendo

_Katika Kuongeza Ushiriki wa Watanzania kwenye Uchumi wa Madini;_
 

Na. Mwandishi Wetu, Mwanza
 
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde amesema kuwa Serikali kupitia Wizara ya Madini imedhamiria  kuweka mikakati  ya kuongeza ushiriki wa  watanzania katika shughuli za madini  ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya watanzania wanaotoa huduma na usambazaji wa bidhaa migodini sambamba na kufungamanisha Sekta ya Madini na sekta nyingine muhimu za kiuchumi.

Aidha, amesema kuwa Wizara ya Madini kupitia Vision 2030 ya Madini ni Maisha na Utajiri inatarajia kufanya utafiti wa kina wa madini nchi nzima utakaoondoa uchimbaji wa madini wa kubahatisha na kuongeza uwekezaji katika Sekta ya Madini ikiwemo idadi ya  kampuni kubwa za uchimbaji wa madini zitakazopelekea ongezeko la watoa huduma kwenye migodi ya madini, ushiriki wa watanzania na  Sekta Binafsi.

Waziri Mavunde ameyasema hayo leo Januari 05, 2024 jijini Mwanza kwenye ufunguzi wa kikao chake na watoa huduma kwa wamiliki wa leseni za madini walioshiriki katika kikao hicho kilichohusisha pia Taasisi za Fedha, Vyama vya Wachimbaji wa Madini, Taasisi za Umma, Wizara ya Madini na Taasisi zake.

 “Dhamira ya Serikali kupitia Wizara Madini ni kuongeza ushiriki wa watanzania katika Sekta ya Madini, mapato ya nchi kuongezeka na kuwa Sekta inayoongoza katika mchango katika uchumi wa nchi,” amesisitiza Waziri Mavunde.

Ameongeza kuwa nia ya Serikali ni kuona watoa huduma wanazalisha  bidhaa bora nchini na kuwataka kuungana na kuwa na nguvu ya pamoja kwenye uzalishaji ili kutosheleza mahitaji makubwa ya kampuni za madini nchini.

“Nipo hapa tuzungumze, kupromote uzalishaji wa bidhaa za ndani, lazima tubadilishe jambo hili, ni eneo ambalo nitalisimamia kwa dhati, vitu vingi bado vinaagizwa nje, tunaweza kuwajengea uwezo watu wetu ili wazalishe ndani na huu ndio utaratibu wetu sisi. Ninataka kuacha alama katika eneo hili, nipo tayari kupokea  changamoto za kisheria na kikanuni na kuzifanyia kazi,” amesisitiza Waziri Mavunde.

Kufuatia hali hiyo, ametoa rai kwa Taasisi za Fedha kuwawezesha watanzania kimitaji ili waweze kushiriki katika Uchumi wa Madini na kuongeza kwamba, Serikali ipo tayari kuwaonesha fursa zilizopo katika Sekta ya Madini na namna wanavyoweza kushiriki.

Pia amewataka wadau wa madini nchini kujipanga kwenye uwekezaji katika madini ya kimkakati kwa kuwa mahitaji yake yanaendelea kuongezeka duniani.

“Mfano mahitaji ya madini aina ya kinywe (graphite) yanatarajiwa kufikia asilimia 500 kwenye uchumi wa dunia ifikapo mwaka 2050 na madini haya tunayo, hivyo ni vyema tukaanza kujipanga kwenda kwenye uchumi shindani.” amesema Waziri Mavunde.

Awali, akielezea mafanikio ya utekelezaji wa Kanuni za Ushiriki wa Watanzania katika Sekta ya Madini  za mwaka  2018, Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba ameeleza kuwa ni pamoja na ongezeko la ajira kwenye migodi kutoka 6,668 kati ya 7,003 ikiwa ni asilimia 95 mwaka 2018 hadi kufikia 16,462 kati ya 17,024 sawa na asilimia 97 kwa mwaka 2022 na ongezeko la manunuzi ya huduma na bidhaa kwa kampuni za kitanzania kutoka Dola za Marekani milioni 756.63 ambayo ni sawa na asilimia 62 ya manunuzi yaliyogharimu kiasi cha Dola za Marekani Milioni 1,228.38 kwa mwaka 2018 hadi kufikia Dola za Marekani bilioni 1.08 ambayo ni sawa na asilimia 86 ya kiasi cha Dola za Marekani bilioni 1.25 ya manunuzi yote yaliyofanyika mwaka 2022.

Ameongeza kuwa, kumekuwepo na ongezeko la ushiriki wa watanzania kwenye nafasi za menejimenti kwenye migodi ya madini tofauti na kabla ya kuanzishwa kwa utekelezaji wa kanuni za ushiriki wa watanzania katika sekta ya madini.

About the author

mzalendo