kocha Mkuu wa Simba Abdelhak Benchikha (katikati) akiwa na Kocha Msaidizi Bw.Farid (Kulia) na Kushoto ni Kocha wa Fitness Bw.Kamal wakionyesha Jezi za Klabu hiyo mara baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam kuanza kazi rasmi ambapo kibarua chake cha kwanza kutakuwa Disemba 2 Ligi ya Mabingwa Afrika.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba Imani Kajula akimkabidhi jezi yake kocha Mkuu wa Simba Abdelhak Benchikha mara baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam
kocha Mkuu wa Simba Abdelhak Benchikha akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kuwasili mara baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam.